Umepotea sana mkuuSawa msisahau kumuombea x wangu
Hupendi hata watu wakiombea Taifa?Enzi za Magufuli kulikua na Haki na amani sana hawakuona hata umuhimu wa kuombea taifa
enzi za magufuli zimepita sahizi ni chura kiziwiEnzi za Magufuli kulikua na Haki na amani sana hawakuona hata umuhimu wa kuombea taifa
Wakristo wanaamini Vita ni vya Mungu Mwenyewe hivyo hawana budi kumlilia yeye awapiganieElewa neno kuombea HAKI na AMANI, Wakristo wanaamini Vita ni vya Mungu Mwenyewe hivyo hawana budi kumlilia yeye awapiganie
Shetani kishajulikana, Maombi ya nini tena?
Kwakweli tuliombeeHuu ndo mwongozo maalum umetolewa leo
View attachment 3376751
View attachment 3376750
View attachment 3376754
Acha uchocheziGwajima alifanya hivyo wakafungia kanisa. Sasa hapa Katoliki wanamprovoc mwenye kigonda kama kweli ana guts. Katoliki ni akili kubwa.
Acha uchochezi
HakikaSafi ila maombi tu hayasaidii. Tuchukue hatua
Maombi ya kawaida haya na yapo poa sana.Safi ila maombi tu hayasaidii. Tuchukue hatua