Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

Watu wanashindwa kuelewa hili hizi n returns wanarudisha kwa nchi wanazochuma pesa,ukiona hivi ujue mnaibiwa zaidi
 

wazee wa kula tunda kimasihara ndiyo wajipange
 
Tanzania nI nchi maskini inayohitaji misaada na mikopo ili kujiendesha . Sababu hizi hapa.
1. Idadi kubwa ya watanzania ni watoto hawajaweza kuingiza kipato. Kumbuka nguvu kazi ya tanzania ni watu milioni 25 kati ya watanzania milion 68.
2. Idadi ya walipa kodi walio sajiliwa na TRA ni watanzania milion 4
3. Katia idadi ya watu wanaoweza kufanya kazI tanzania 18-65 ambao wapo milion 25, idadi kubwa ya wanawake hawafanyi kazi kwa kudai sio jukumu lao. Pia kuna vijana jobles na wanafunzi wa vyuo.

Hitimisho . Ili tuondoke kwenye umaskini nilazima kila.mtu ajitambue
 
Ndio CCM walikua wanapitia humo humo
 
Alafu hizo pesa matumizi yake ndo utacheka,.
 
unaambiwa hadi matundu ya vyoo yanatoka Marekani! Ila viongozi wananunua ma vieite kibao yaani!
 
"Has no significance"
Ni ela inayoingia kwenye mzunguko hapa nchini na ina cover ombwe la ukwasi kwa kiasi kikubwa sanaaa...kutoa trillion kwenye mzunguko lazma tofauti kubwa sana ionekane, na lazma serikali itumie akili kupunguza matumiz yasiyo ya lazma, kuongeza makusanyo na kuanzisha vyanzo vingine vya mapato, uchungu wa hili haukwepeki!
Serikali inakopa bank kias kikubwa, ikiwa ni pamoja na hizo hela za USAID ,WORLD BANK NA AFDB..elewa!
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—bado hamjasema!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…