LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
kina lissu waje na sera za namna gani wataendesha nchi bila kutegemea misaada toka nje wakati nchi ina utajiri wa kutosha kuhudumia wananchi wakeLissu peke yake ndie ataweza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kina lissu waje na sera za namna gani wataendesha nchi bila kutegemea misaada toka nje wakati nchi ina utajiri wa kutosha kuhudumia wananchi wakeLissu peke yake ndie ataweza.
Hizo ni dollar mkuuUngeweka in terms of dolare.
Watu wanashindwa kuelewa hili hizi n returns wanarudisha kwa nchi wanazochuma pesa,ukiona hivi ujue mnaibiwa zaidiKisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.
Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo.
Gazeti hilo limeleza Tanzania yenye watu Milioni 65 linapokea kiwango sawa na Nigeria yenye watu 220Milioni.
Kalagha Bahooo........Hizi hela huwa zinaenda wapi mbona ni nyingi sana?View attachment 3224545
Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.

Hakutaka Ujinga Babu yangu yuleSizitaki mbichi hizi
Inaweza kuwa nayo ni moja ya sababuSasa kwa nini walijitapa wasipangiwe cha kufanya, siku ile kwenye hotuba zao 🤔🤔.???
usaid mkuu... tafuta uo mkataba upoNa nani? USAid au Serikali ya America?
Ndio CCM walikua wanapitia humo humoKisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.
Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo.
Gazeti hilo limeleza Tanzania yenye watu Milioni 65 linapokea kiwango sawa na Nigeria yenye watu 220Milioni.
Kalagha Bahooo........Hizi hela huwa zinaenda wapi mbona ni nyingi sana?View attachment 3224545
Huenda unabwabwaja tu hujui hasa NGOs zinavyofanya kazi. Kwamba seeikali ya Marekani ilazimishe watanzania kufungua NGOs?Mabeberu wanalazimisha usajili wake
💯🤜🤛kina lissu waje na sera za namna gani wataendesha nchi bila kutegemea misaada toka nje wakati nchi ina utajiri wa kutosha kuhudumia wananchi wake
Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.
Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo.
Gazeti hilo limeleza Tanzania yenye watu Milioni 65 linapokea kiwango sawa na Nigeria yenye watu 220Milioni.
Kalagha Bahooo........Hizi hela huwa zinaenda wapi mbona ni nyingi sana?View attachment 3224545
unaambiwa hadi matundu ya vyoo yanatoka Marekani! Ila viongozi wananunua ma vieite kibao yaani!Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.
Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo.
Gazeti hilo limeleza Tanzania yenye watu Milioni 65 linapokea kiwango sawa na Nigeria yenye watu 220Milioni.
Kalagha Bahooo........Hizi hela huwa zinaenda wapi mbona ni nyingi sana?View attachment 3224545
Kana akili ndefu sana.. Aliona haina haja ya kwenda YUROPA kutembeza bakuri, wakati africa hela zipo za kutosha pale kwa akina KOFI .. 😁😁Kazee kajizi kale.Kamewasingizia South Africa ndiyo wanakwiba madini ya DRC kuliko yeye.
ameweka hiyo figure kwa USDUngeweka in terms of dolare.
"Has no significance"Tanzania tulikuwa tunapata hela za directly kuingia Serikalini wakati wa JK via MCC ila tulishaondolewa pale ndiko tulijenga Barabara,umeme nk
Baada ya hapo ni stori za uongo na ukweli via NGOs which has no significance Kwa Government.
Mwisho hiyo ni Trilioni 1 tuu ,Sasa Tanznaia inashindwaje ku cover hela ndogo kama hiyo?