Msitake kupotosha maana ya "kuuwa Walipa Kodi".Tunauwa walipa kodi
Hayajakwepa kodi. Hakufuata taratibu za kuingiza mifugo.Haya ndiyo maeneo ambayo jiwe alikuwa anajipatia umarufuu, yaani ndani ya wiki2 tangu jiwe afariki wafanyabiashara tayari mmeanza janja janja ya kukwepa kodi, hapana huyu ashugurikiwe vilivyo tena ikiwezekana anyongwe kabisa, ndiyooo huu ni zaidi ya uhujumu uchumi!
Na sisimizi jeMimi hata viumbe vingine naogopa kutoa uhai wao kwa kuwagonga kwa gari. nilishagonga paka nikasali kwa kumuomba Mungu anisamehe
Hawa watu wanawachanganya wakulima .Taarifa ya Habari ya ITV ya leo imeonesha mfanyabiasha wa Ukonga aliyeingiza vifaranga vyenye thamani ya milioni 40 kutoka Kenya bila kufuata utaratibu.
Hatua zinazotakiwa kuchukuliwa kulingana na sheria nikubinafsisha mali nakuteketeza vifaranga wote kwa mujibu wa sheria.
Je, kipi bora kumuita mfanyabiasha ukampiga faini pia akalipia gharama za kuhakiki usalama wa vifaranga( kwa afya ya binadamu) alafu umrudishie vifaranga? Au ukateketeza mtaji au fedha milioni 40?
Na biblia ilisisitiza kulipa kodi na kutii mamlaka
Taarifa ya Habari ya ITV ya leo imeonesha mfanyabiasha wa Ukonga aliyeingiza vifaranga vyenye thamani ya milioni 40 kutoka Kenya bila kufuata utaratibu.
Hatua zinazotakiwa kuchukuliwa kulingana na sheria nikubinafsisha mali nakuteketeza vifaranga wote kwa mujibu wa sheria.
Je, kipi bora kumuita mfanyabiasha ukampiga faini pia akalipia gharama za kuhakiki usalama wa vifaranga( kwa afya ya binadamu) alafu umrudishie vifaranga? Au ukateketeza mtaji au fedha milioni 40?
Kwa hiyo sheria ikisema choma unachoma sio.. Ningekuwa Mimi ndio mwenye mamlaka nitaamuru aliyeamuru kuchoma alipe hao vifaranga wote.Kama sheria inasema hivyo wavichome tu ili liwefundisho kwa hao wanaingiza vifaranga bila kibali.
Wewe by profesional ni nani? Make Nchi hii kila mtu ni mjuaji,Taarifa ya Habari ya ITV ya leo imeonesha mfanyabiasha wa Ukonga aliyeingiza vifaranga vyenye thamani ya milioni 40 kutoka Kenya bila kufuata utaratibu.
Hatua zinazotakiwa kuchukuliwa kulingana na sheria nikubinafsisha mali nakuteketeza vifaranga wote kwa mujibu wa sheria.
Je, kipi bora kumuita mfanyabiasha ukampiga faini pia akalipia gharama za kuhakiki usalama wa vifaranga( kwa afya ya binadamu) alafu umrudishie vifaranga? Au ukateketeza mtaji au fedha milioni 40?
Sheria inataka viteketezwe,Vifaranga hawana hatia, aadhibiwe mhusika, vifaranga wapimwe kujiridhisha kama wanafaa kuwepo nchini au warejeshwe walikotoka, kuna amri ya Mungu isemayo "usiue"
Kuteketeza vifaranga ni kawaida sana, Hizi Hatchery zilizoko Tanzania wanateketeza sana kila siku sema wao hawati vyombo vya habari wakati wanapo teketezaLaana hizi na tusipoangalia tutaendelea kuomboleza chanzo kikiwa ni laana za vifaranga.
Unajua madhara ya kuingiza mifugo bila Vibari? Au una bwawaja tu humuHakuna diplomasia ya biashara? Kama mtasikia tena kupiga kelele mahindi ya wakulima yakipigwa pini mpakani kuingia Kenya.
Zinateketezwagwa Ng'ombe sembuse Vifaranga?Hapo vifaranga wanaonewa tu ...hawana hatia. Adhabu apewe aliyevileta hivyo vingeachiwa huru kabisa.
Hapa sio kukwepa kodi shida kuu ni Vibari, kuingiza mifugo bila vibari ni hatari kubwa sana sana,Haya ndiyo maeneo ambayo jiwe alikuwa anajipatia umarufuu, yaani ndani ya wiki2 tangu jiwe afariki wafanyabiashara tayari mmeanza janja janja ya kukwepa kodi, hapana huyu ashugurikiwe vilivyo tena ikiwezekana anyongwe kabisa, ndiyooo huu ni zaidi ya uhujumu uchumi!