Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Thanks
Huu utaratibu haufutwi kwa jitihada za mtu bali kwa mfumo usiotegemea watu. Unaona sasa unaongelea mtu aliyekufa?
Mfumo kweli lakini kubadilisha huo mfumo lazima kuna mwanzilishi wa hilo Wazo la mabadiliko!
 
Huyo mwendazake uliyemtaja ndiye alikuwa kizingiti #1 wa wazo la mabadiliko.

Waanzilishi wa mawazo ya mabadiliko? Utakuwa na umri gani duniani mkuu? Kwani hata hawa nao hujawasikia?

Askofu Bagonza: Tunahitaji Tanzania Mpya inayowezesha Raia wake kuishi kwa furaha na watu wasiokubaliana nao
Nakubaliana na mawazo ya Askofu Bagonza. Mabadiliko ninayumhusisha nayo mwendazake ni mabadiliko kwanza ndani ya ccm kutokuwa tegemezi wa wafanyabiashara kwa kuwa na vyanzo vyake vya mapato!! Kufanya hivyo kunaisadia serikali kutokuwekwa mifuko hivyo kupunguza rushwa kwenye chama na serikali!! Bila kukithibiti chama ni vigumu kubadilisha mifumo ya serikali kwa utaratibu uliopo!!

Kuwa mwendazake alikuwa mpinga mabadiliko #1 sina hakika; Mimi nadhani it was just a question of timing when to strike the iron! Ingawaje sikukubaliana na jinsi ya mambo mengine alivyokuwa anaexecute!
 
Tambua mabadiliko ya msingi ni katika nchi.

Nchi ni vyote. Tanzania ina watu 60m+ si sahihi kwa awaye yote kufungamanisha CCM au Chadema na Tanzania mpya.

Kwamba mwendazake hakuwa kikwazo kwa Tanzania mpya? Labda wewe kama ni mgeni duniani.

Kumbuka Tanzania mpya = Mustakabala mpya = Katiba mpya

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Sina pingamizi na mawazo yako. Mimi siamini kuwa mwendazake alikuwa anapinga kupatikana kwa katiba mpya bali alikuwa anataka kuwa strategic kutokana na upinzani ndani ya chama chake! Ingawa matamshi yake yalikuwa hivyo!
Kwa jinsi nchi yetu na watu wake tulivyo kuwa unlike nchi nyingine, utashi wa vyama vikuu vya siasa ni muhimu ili katiba ya wananchi kupatikana kwa Amani!
 
Sina pingamizi na mawazo yako. Mimi siamini kuwa mwendazake alikuwa anapinga kupatikana kwa katiba mpya bali alikuwa anataka kuwa strategic kutokana na upinzani ndani ya chama chake!
Kwa jinsi nchi yetu na watu wake tulivyo kuwa unlike nchi nyingine, utashi wa vyama vikuu vya siasa ni muhimu ili katiba ya wananchi kupatikana kwa Amani!

Mwendazake ndiye aliyekuwa muasisi wa genge la wasiojulikana. Lengo na madhumuni?

IMG_20220305_073032_979.jpg

IMG_20220309_162701_989.jpg

IMG_20220309_162729_140.jpg
 
Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?

Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?

Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.

Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
 
Huu UZI unaingia hapa, kwenye huu UZI mwingine wa Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana, ngoja kesho nikipata muda mzuri tutajadali kwa kina namna au jinsi huu MFUMO unavyofanya kazi.
 
Wamezaliwa kuwa viongozi, wewe kalime korosho mtimbwilimbwi
 
Maji hufuata mkondo, hata kwa wafanyabiashara matajiri au wasomi watoto wao wana good chance ya kuwa matajiri, pambaneni mfungue njia kwa generations zenu zijazo ndio maisha yalivyo, na ukiwa maskini chance kubwa kwa wanao ni umaskini tuu
 
Mpaka akili zikae sawa ndio tutaelewana, mkiambiwa inatakiwa katiba mpya itakayo yatia hatiani haya majizi ya CCM hamuelewi. Wote tukianza kuimba wimbo mmoja tutafika nchi ya asali na maziwa
 
Hebu tusiwe brainwashed jamani! Kua Wakili sio lazima uwe unasimama kutetea watu mahakamani! Jaji Joseph Sinde Warioba unajua kama ni moja ya Wakili hatari?? Je ulishawahi sikia kasimama mahakamani kutetea mtu au watu?? Kuna wanasheria ni wataalam wa sheria za majini,mipaka au katiba na wengine criminal na wengine biashara,kila sehemu wapo! Elewa hilo
Mwisho wa kufikiri kwako
 
Tusiwe na chuki hadi tupate maradhi ya mwili!

Ungesema Ridhiwan Kikwete hana Elimu yakuweza kushika hiyo nafasi,hapo ningekuona wa maana sana! Lakini sio kuja na ngonjera tu!

1. Nyerere mwanae Makongolo
2. Mwinyi mwanae Hussein
3. Mkapa mwanae ni Katibu wizara flani
4. Kikwete mwanae ni NW
5. Magufuli watoto wake Lucy alikua DAS Morogoro sina uhakika kama bado yupo,Jesca alikua REA sina uhakika kama bado yupo
6. Samia sijui watoto wake wana posts gani,lakini ipo siku tutajua tu, stay tuned
2. Sio kweli
4. Mke ni mbunge
5. Udas ni sawa na katibu tarafa
6. Mtoto wake ni mbunge zanzabar
 
Wewe ndiyo mwisho wakufikri kwako! Tuwe na aibu hata kidogo! Hivi kuna mzazi anayependa mtoto wake apate shida na wakati ana nafasi zakuweza kumsaidia?? Na bado mtoto ana Elimu yakuweza kushika hiyo nafasi??
Wewe mwenyewe una elimu. Mbona usipewe NW?
Nchi ina utawala wa kimwinyi kwa sasa
 
Back
Top Bottom