Thanks
Mfumo kweli lakini kubadilisha huo mfumo lazima kuna mwanzilishi wa hilo Wazo la mabadiliko!Huu utaratibu haufutwi kwa jitihada za mtu bali kwa mfumo usiotegemea watu. Unaona sasa unaongelea mtu aliyekufa?