vipi maeneo yanayotokea vita ina maana Mungu hajaamua kuwalinda ?Mwenyezi Mungu ndio anayelinda Aman ya Tanzania na wala sio Kanisa.
Rwanda ni nchi iliyoingia kwenye machafuko sababu ya Kanisa. Roho ya machafuko katika nchi inaweza kuletwa na Imani yeyote.
Weka aya hapa acha porojoKwamujibu wakitabu chao cha dini mchezo wa mpra ni haram sasa mbona wanatafuta washiriki was hyo haram au sheria za haram zna bagua kwenye nywele tuu za wanawake
Umeumbuka kijana...football siyo mchezo ni makombora...?Nimeuliza ni upande upi wa michezo ambako Iran wamefanikiwa hadi tuone kuna haja ya kushirikiana nao kwenye michezo unakurupuka unaleta ngonjera ,Wewe ndio utumie akili usiwe mpumbavu kiasi hicho
Ndio maana huwa ninasema watz wengi ni mbumbumbu hasa yanapo kuja masuala ya mataifa mengine.Iran na michezo wapi na wapi
Nimeuliza ni upande upi wa michezo ambako Iran wamefanikiwa hadi tuone kuna haja ya kushirikiana nao kwenye michezo unakurupuka unaleta ngonjera ,Wewe ndio utumie akili usiwe mpumbavu kiasi hicho
Kama Iran ni nchi ya hovyo basi nchi yako itakuwa ni mavi kabisa.Tumeamza kushirikiana na nchi za hovyohovyo wallah!
Wallah!Kama Iran ni nchi ya hovyo basi nchi yako itakuwa ni mavi kabisa.
Sasa msishirikiane na nchi za hovyo hali yakuwa nyinyi nchi yenu ni ya hovyo zaidi ya mara 100 ya hizo nchi unazo ziita za hovyo?Wallah!
Nchi za hovyohovyo tusishirikiane nazo zinaturudisha nyuma ki diplomasia
Gari bovu hukokotwa na zima sio bovu jenzakeSasa msishirikiane na nchi za hovyo hali yakuwa nyinyi nchi yenu ni ya hovyo zaidi ya mara 100 ya hizo nchi unazo ziita za hovyo?
TAKBIRrRrRrRRbirrrMpaka 2030 nchi ishakuwa islamic republic kitambo sana
Ukinigusa nakinukisha.We kibibi leo vipi mbona unaongea hovyohovyo
Uislam utafika popote tu kaka ata ujifiche wapi,,na uislam umekuja kuondoa huo mfumowako wa kigaidi democrasia ,,mfumo wa unyonyajiKila siku maombi yangu Ni siku moja huu muungano ufe,,, ikiwezekana magaidi wahamie visiwani na sisi tubBara,Ila ni vigumu
NB:sisi makafiri ni wengi Sana kuliko magaidi TZ,, hivyo HAWATUWEZI
Iran na michezo wapi wapi, huo ni mlango tu wa kupenyeza magaidi nchini muda si mrefu tutaanza kuruka na cia na mossadKwan kuna ubaya gani ikiwa kutakua na maendeleo mazuri?
Kwani uwo ukatoliki umetupa kipi cha maana?
Iran sio gari bovu uchumi wa jiji la Teheran tu ni mkubwa mara mbili ya uchumi wa taifa lako zima.Gari bovu hukokotwa na zima sio bovu jenzake