Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa ya Kichina au Kiyahudi pia sio mbayaWatanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Ukifanya kosa la hukumu yake ukatwe shingo ukatwe shingo tu.Wewe Bibi acha kuturudisha miaka elfu 2 iliyopita ,mambo ya sharia unataka watu wachinjane? Siku hizi kuna haki za binadamu ,tuweke sheria ambazo zitawafanya watu wasizitende ,vifungo,faini,kufilisiwa incase of ufisadi/wizi.
"Nchi yetu haina dini" - Nyerere 1995 Kilimanjaro Hotel Press.
Waafrika hatuna dini zetu? Hongera Kwa kuwa Platinum memberHapana siyo kweli, hakuna hilo kwenye sharia law. Hizo ni sheria zankukataza kuabudu ni za kibinaadam, zinakiuka sharia. Sharia nasema hakuna kukirihishana katika dini.
Nigeria wanajuta muda huu baada ya kuruhusu pesa za OIC ziwape sababu ya kuanza kutumia sharia katika maisha yao ya kila siku.Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Unaweza kuwa sahihi. Lakini ingependeza kama FaizaFoxy angetoa mifano ya nchi zenye katiba inayozingatia misingi ya sharia lakini ameacha wachangiaji waelee tu. Mifano itasaidia sana kupanua mawazo.FaizaFoxy kaongea hoja ya msingi sana ila watu wamekurupuka kumshambulia. Ukweli usiopingika haki na amani vitapatikana tutakapozifuata sheria za Mwenyezi Mungu.
Kujifunza ni kutazama sheria fulani ambayo kwetu haitatuwi tatizo, sharia inatatuwa vipi?
Ukianza kutazama nchi, nchi nyingi wana sharia na sheria za kimila na tamaduni zao.
Hata Tanzania, tuna shria ya common law, tuna sheria za kidini, sharia ikiwemo na tuna sheria za kimila. Zote hazitusaidii vilivyo, tuwe na sharia moja tu. Tuone nchi itavyo nyooka.
Nigeria wanajuta muda huu baada ya kuruhusu pesa za OIC ziwape sababu ya kuanza kutumia sharia katika maisha yao ya kila siku.
Hii ni nchi ambayo secularism imeanza tangu uhuru, ni vigumu sana kwa watu kukuelewa unapoongelea sharia.
Yule mtetezi wenu wa oic na mahakama ya kadhi hayupoWengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Nani kakwambia hizo nchi zinatawaliwa kwa Sheria ya Mungu?Tuwe kama somalia,chadi, Mauritania,Oman, bila mafuta nchi zote za kiarabu zingekuwa maskini sana
Punguza ujinga
USSR
Mbona Saudi Arabia wanalazimisha kuabudu?Kama vile huko Ulaya waislamu wana uhuru wa kuabudu
Kwani nani kalazimishwa kuabudu ? Inayosema hivyo ni biblia kuwa watu walazimishwe wawe wakristo