Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Naam psk
Wewe Bibi acha kuturudisha miaka elfu 2 iliyopita ,mambo ya sharia unataka watu wachinjane? Siku hizi kuna haki za binadamu ,tuweke sheria ambazo zitawafanya watu wasizitende ,vifungo,faini,kufilisiwa incase of ufisadi/wizi.

"Nchi yetu haina dini" - Nyerere 1995 Kilimanjaro Hotel Press.
Ukifanya kosa la hukumu yake ukatwe shingo ukatwe shingo tu.

Mbona hivi sasa kuna ukatili zaidi ya kuchinjwa, tunaona watu wanahukumiwankunyongwa hadi wafe, wengine tunaona wanavishwa matairi wanapigwa moto na hakuna anaehukumiwa.
Sharia itayaondoa yote hayo.
 
Hapana siyo kweli, hakuna hilo kwenye sharia law. Hizo ni sheria zankukataza kuabudu ni za kibinaadam, zinakiuka sharia. Sharia nasema hakuna kukirihishana katika dini.
Waafrika hatuna dini zetu? Hongera Kwa kuwa Platinum member
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Nigeria wanajuta muda huu baada ya kuruhusu pesa za OIC ziwape sababu ya kuanza kutumia sharia katika maisha yao ya kila siku.

Hii ni nchi ambayo secularism imeanza tangu uhuru, ni vigumu sana kwa watu kukuelewa unapoongelea sharia.
 
FaizaFoxy kaongea hoja ya msingi sana ila watu wamekurupuka kumshambulia. Ukweli usiopingika haki na amani vitapatikana tutakapozifuata sheria za Mwenyezi Mungu.
Unaweza kuwa sahihi. Lakini ingependeza kama FaizaFoxy angetoa mifano ya nchi zenye katiba inayozingatia misingi ya sharia lakini ameacha wachangiaji waelee tu. Mifano itasaidia sana kupanua mawazo.
 
sawasawa
lakini sheria yeyote inayofungama na imani au mila inahusisha miungu au Mungu, na kila iman ina Mungu au
Kujifunza ni kutazama sheria fulani ambayo kwetu haitatuwi tatizo, sharia inatatuwa vipi?

Ukianza kutazama nchi, nchi nyingi wana sharia na sheria za kimila na tamaduni zao.

Hata Tanzania, tuna shria ya common law, tuna sheria za kidini, sharia ikiwemo na tuna sheria za kimila. Zote hazitusaidii vilivyo, tuwe na sharia moja tu. Tuone nchi itavyo nyooka.
 
Utawala wa Sheria ya MUNGU utarejea tu licha ya juhudi kubwa inayofanywa na Ibilisi na mawakala wake miongoni mwa majini na wanadamu.

Fasad na dhulma zote zinazoendelea duniani ni kutokana na mwanadamu kuuacha mfumo wa Maisha (DINI) aliyokabidhiwa na MOLA wake. Binadamu aliona sheria ya Muumba inambana hivyo akaasisi sheria zake kwa mujibu wa matamanio ya nafsi yake
 
Nigeria wanajuta muda huu baada ya kuruhusu pesa za OIC ziwape sababu ya kuanza kutumia sharia katika maisha yao ya kila siku.

Hii ni nchi ambayo secularism imeanza tangu uhuru, ni vigumu sana kwa watu kukuelewa unapoongelea sharia.

Tafadhali usidanganye watu, sheria za Nigeria hazina tofauti na sharia za Tanzania kwa sasa, zinafanana fanana, ushahidi huu hapa:

The Law of Nigeria consists of courts, offences, and various types of laws. Nigeria has its own constitution which was established on 29 May 1999. The Constitution of Nigeria is the supreme law of the country. There are four distinct legal systems in Nigeria, which include English law, Common law, Customary law, and Sharia Law. English law in Nigeria is derived from the colonial Nigeria, while common law is a development from its post colonial independence.[1]

Uongo unakusaidia nini? Tungekuwa na sharia saa hizi wewe unakwenda kula fimbo kwa kusema uongo.
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Yule mtetezi wenu wa oic na mahakama ya kadhi hayupo
 
Tuwe kama somalia,chadi, Mauritania,Oman, bila mafuta nchi zote za kiarabu zingekuwa maskini sana

Punguza ujinga

USSR
Nani kakwambia hizo nchi zinatawaliwa kwa Sheria ya Mungu?

Hata hiyo Saudi Arabia haitawaliwi kwa sheria ya Mungu
 
Kama vile huko Ulaya waislamu wana uhuru wa kuabudu
Kwani nani kalazimishwa kuabudu ? Inayosema hivyo ni biblia kuwa watu walazimishwe wawe wakristo
Mbona Saudi Arabia wanalazimisha kuabudu?
Nionyeshe kwenye Agano Jipya sehemu inayolazimisha kuabudu, usiongee maneno matupu.
Mi na evidence za kutosha kuwa Wakristo wanateswa huko Uarabuni kwenye nchi zilizoidhinisha Sharia kuwa sheria za nchi husika. Kusoma Biblia mpaka ujifiche kwnye handaki au nyumbani, si uminywaji wa haki za binadamu kuhusu ibada?
 
Back
Top Bottom