Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Na sisi kama watumiaji lazima tufanye Counter attack.

Tuhamasishane Mei Mosi kususie huduma zao zote za internet mpaka watakaposhusha bei.
 
Kuanzia Mei mosi tususie huduma zao zote za internet.

Wasituone sisi wajinga kutuibia pesa zetu za ngama tukawaacha hivi hivi....we must respond!

Mark the date, Mei Mosi
 
Hii mitandao ya Simu inatufanya watumiaji Mazuzu sana, wanajipangia wanavyotaka tu

Ushirikishwaji au uchukuaji wa maoni kuhusu bei za vifurushi hawana

Utaratibu wa wapi sijui huu
 
Hii mitandao ya Simu inatufanya watumiaji Mazuzu sana, wanajipangia wanavyotaka tu

Ushirikishwaji au uchukuaji wa maoni kuhusu bei za vifurushi hawana

Utaratibu wa wapi sijui huu
Halafu kila mwaka utawasikia bila aibu wanatangaza faida ya mabilioni ya shilingi.
 
Aliyewaroga Ni aliyewaita wanyonge nanyi mkakubali unyonge.
Hii nchi sio ya maskini. Hii Ni kwa ajili ya WACHACHE wenye nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…