OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Uwe na kumbukumbu mkuu mchakoto huu ni wa Hayati ila rasmi ndio ulikuwa unaanza mwezi AprilKuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
Kwa kawaida popote duniani usimamizi wa mifumo na bei za bando za simu siyo kazi ya waziri. Haya ni masuala ya mienendo ya soko la huduma simu, mahitaji ya wateja na mbinu za ushindani baina ya watoa huduma. Telecom industry inakuwa chini ya regulatory authority na makampuni wakati makampuni yanaendeshwa na menejimenti na bodi zao. Jukumu la waziri ni kutunga na kusimamia sera kwa manufaa ya maendeleo na manufaa ya kisekta kwa taifa.Habari wakuu,
Niwe muwazi, ktk watu niliokuwa nawakubali sana awamu ya 5 watu wanaosimamia professional yao mmoja wapo ni Mh Faustine Ndugulile, hata alipotumbuliwa bado niliendelea kumkubali sana huyu mwamba sababu alikuwa mchapa kazi,
Hicho ndicho kilichomfanya apite kwenye kula za maoni kule kigamboni mpaka kumbwaga bashite,
Hivi juzi baada ya kupewa wizara ya Teknolojia na mawasiliano alionyesha nia njema ya kujali maslahi ya wananchi wanaolalamika kuibiwa bando na makampuni ya simu, sikuwa nashaka sababu nilijua atalimaliza hilo tatizo,
Cha ajabu imekuwa kinyume, gharama zimepanda, bando limepunguazwa, Mh kumbuka wewe ndio umezianzisha hizi kanuni za kuongoza hayo makampuni kwenye utoaji wa bando, kiukweli watu wanaumia sana,
Lawama zote utazibeba wewe, hiki kitu kitakuharibia mvuto wako wa KISIASA, huu mzimu wa bando utakutesa sana huko mbeleni maana unaumiza watu wengi,
Je makampuni ya simu yanamhujumu mh Ndugulile? Kama sio kweli why atufanyie hivi? Je kuna haja ya kuendelea na hizi kanuni?
Mabosi wengine wana nongwa ,wanachomoa kwenye routers inayosupplyNi mwendo wa freebasics kwa sasa, nikihitaji huduma za internet nitasubiri internet ya kazini.
Wala usijali mkuu matumizi ya internet yatapungua sana na izo kampuni zitapata hasara hvo watashusha tuu sabab watakosa wateja soonHabari wakuu,
Niwe muwazi, ktk watu niliokuwa nawakubali sana awamu ya 5 watu wanaosimamia professional yao mmoja wapo ni Mh Faustine Ndugulile, hata alipotumbuliwa bado niliendelea kumkubali sana huyu mwamba sababu alikuwa mchapa kazi,
Hicho ndicho kilichomfanya apite kwenye kula za maoni kule kigamboni mpaka kumbwaga bashite,
Hivi juzi baada ya kupewa wizara ya Teknolojia na mawasiliano alionyesha nia njema ya kujali maslahi ya wananchi wanaolalamika kuibiwa bando na makampuni ya simu, sikuwa nashaka sababu nilijua atalimaliza hilo tatizo,
Cha ajabu imekuwa kinyume, gharama zimepanda, bando limepunguazwa, Mh kumbuka wewe ndio umezianzisha hizi kanuni za kuongoza hayo makampuni kwenye utoaji wa bando, kiukweli watu wanaumia sana,
Lawama zote utazibeba wewe, hiki kitu kitakuharibia mvuto wako wa KISIASA, huu mzimu wa bando utakutesa sana huko mbeleni maana unaumiza watu wengi,
Je makampuni ya simu yanamhujumu mh Ndugulile? Kama sio kweli why atufanyie hivi? Je kuna haja ya kuendelea na hizi kanuni?
Hiyo wizara arudishwe January Makamba...hawa wengine vimeo
Ombeni serikali iongeze mishahara mpate pesa za bando.Tunakomolewa ili tusipate mabando ya kuwasema viongozi mitandaoni
Hilo ndilo tatizo umeliona?Ombeni serikali iongeze mishahara mpate pesa za bando.