Ukiwajaji kwa jicho chongo hautajua faida wanayoingiza ila jua ile ni biashara ndio maana kwenye page zao utakuta matangazo ya biashara za watu.Hakuna aliyenipa utajiri.
Hivi mimi ninayetumia 30k kwa mwezi na hao wachambaji wa instagram wanaotumia buku 2 kwa siku × siku 30 nani anatumia pesa kubwa zaidi??
Sio watzKinachofatia watu wataacha kununua bando, watapata hasara, watarudisha bando za zamani kimywa kimywa.
Stupid
Mimi sioni unafuu mbona au tigo bado awajarekebisha?
Sio watzKinachofatia watu wataacha kununua bando, watapata hasara, watarudisha bando za zamani kimywa kimywa.
Value tuliacha mwaka 2016,toka hapo ni ndizi niko miksa ugoro unapata ulevi fresh tu. Cha muhimu kulewa.Ndiyo mfate speed ya uchumi wa kati chini na acheni kunywa Hennessey kunyweni valuer chenchi ikibaki nunueni bundle.
Una GB14 kwa Siku30 @30000Tsh(VAT 4576.27Tsh thamani yake 25423.73Tsh).Piga*102*00# kuangalia salioHuenda hata hizo bandle za 30k unazisikia kwa jirani au rafiki, hata hauja wahi kujiunga, siku zote fukara hujikweza mbele za watu ili kulinda heshima yake asidharaulike
Banana chupa jeroValue tuliacha mwaka 2016,toka hapo ni ndizi niko miksa ugoro unapata ulevi fresh tu. Cha muhimu kulewa.
Angalia bei za leoUna GB14 kwa Siku30 @30000Tsh(VAT 4576.27Tsh thamani yake 25423.73Tsh).Piga*102*00# kuangalia salio
👆 hiyo nimejiunga jana na nitadumu nayo kwa mwezi mmoja.
😂😂😂😂😂Acha kutumia simu sana hizi kero itaisha mimi nimehamia sehemu isiyo na network ya internet.
Mambo mengi ikiwa pia na kutaftia connection za ajira na kujifunza mambo mapya kuanzia kiiman ha kijamii. Bundle la 4k lilinitosha mwez mzima ila kwa sasa haliwez kidhi matumiz yangu tenaJe unatumia kufanya shuhuli gani huko mtandaoni?
Kama ni jambo la msingi huwezi kosa pesa ya kununua.
Wananchi wanaposikia watu wanakandamizwa na wenye mamlaka huwa wanajitenga kama haliwahusu, sasa leo hili la bundle limewahusu onyesheni kuwa nyie ndiyo wenye nchi.
[emoji38][emoji38]Hata ukiniita stupid 1000 times, haiondoi maana una mindset problem.
Nakushauri while unanibeza, usisahau to take good care of yourself.