Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Maisha yanaenda kasi sana hasa kwa tulio maskin tuanze punguza bajeti za kutumia simu kama unalipia elfu 10 unapata GB 2.5 kwa mwezi huu ni udhalimu mkubwa sana na tunaenda pabaya, hakuna maisha ya mtanzania kwa sasa mwenye kipato cha kununua bei kama hzo kwa intaneti.

Zamani Elfu10 uliweza pata GB7 kwa mwezi lakin sasa mambo yamechange kwa spidi sana. Nilikua nahemea TTCL lakini nao yaleyale uanapata GB 2.2 kwa 5,000. Kama bei zinapanda za bundles ni busara wakatuweka wazi tujue shida ni nini kuliko kupandisha vifurushi bei.

Nilikua nanunua GB 7 TTCL kwa 10,000 kwa mwezi lakni leo nmeangalia bundle zao sizioni bei zimepaaa hatari. Kilochobaki sahivi ni kupunguza matumiz ya internet hasa kwenye Social network zinazokula sana MB.

Unalipia 50,000 upate GB 12? Tigo hamwezi kuwa siriazi kwakweli.
 
Tangu lini ccm ikawapendelea watanzania?
Lini chui akawapendelea wana wa sungura?
 
Hivi ndo nafuu alotangaza waziri wetu yani? ajabu kwelui ndo kwanza vimepanda
 
Relax stupid man [emoji16]

Et internet sio basic need walichofanya ni sahihi

USA dola 50 nlkua napata unlimited data by Us cellular sijui unaongea Nini hapa

Naona unarukaruka kama maharage kwenye chungu. 😂

Where did say walichofanya ni sahihi?

If you can't comprehend maneno machache niliyoandika..

Nikiandika mengine kukuelezea nikujisumbua tu!

Bado una mzigo, tena nikuongezee mzigo! 😂
 
mkuu Bujibuji nakuheshimu sana tena sana, tafadhali fikiri upya na ikiwezekana ufute uzi huu itakuwa ni busara kubwa.

ahsante
Huu utakuwa ushauri wa busara sana kwako. Bofya kwenye avatar yangu, utakutana na neno ignore, bofya, hutoona Tena machapisho yangu.
mkuu Bujibuji nakuheshimu sana tena sana, tafadhali fikiri upya na ikiwezekana ufute uzi huu itakuwa ni busara kubwa.

ahsante
Pasaka njema
 
maisha yataendelea tu hakuna namna ila siyo kwa mtanzania wa leo yuko tayari kulala njaa ila siyo kukosa bundle na kwenye kikao cha juzi tulishakataa kuitwa wanyonge safari hii
 
Hii sera nadhani ilipangwa kutukomoa wapenda HAKI ili kwa kujua uchumi umebanwa hivyo wakosoaji watapungua.

Naamini Mama ataliangalia pia maana huku kwenye mitandao anapita na kusikiliza mengi mno na maoni mengi anayafanyia kazi.
 
Wanaona ndiyo itakuwa njia ya kudhibiti mitandao maana kama waliwahi sema wanatamani siku moja malaika ashuke afumgie mitandao yoote watashindwaje kutukwamisha kwa kuongeza bei ya bundle?
Kilichofanyika ni utoto wa kiwango cha lami. Hakuna tofauti na ule upumbavu wa kuongeza kodi ya IST sababu eti ni gari inayopendwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…