Hakuna maana kote mambo ndiyo hayo hayo.Cha kufanya ni kuachana na mitandao na hizo MB wakae Nazo stoo kama ni dili sana.Tuone watakusanya nini kwa kuongeza gharama?View attachment 1740133
Royal bando
View attachment 1740134
Mega bando kwa wiki
View attachment 1740136
Internet kwa wiki
Kwa mabadiliko haya ya vifurushi kwa nini Waziri Ndugulile asijiudhuru kwa kuudanganya Umma wa Watanzania. Tuliaminishwa kwamba vifurushi vitapatikana kwa gharama nafuu, imekuwa kinyume chake.
Kwa heri Halotel, niliwapenda lkn ndo basi tena. Na jana nimetoka kuwapigia chapuo kuwa mko vizuri, kumbe sikujua masaa machache yajayo ingekuwaje.
Baada ya kutoa yangu moyoni, tujuzane wapi pa kukimbilia kwa sasa.
Mtandao gani zaidi maana wote ni walewale na wamepewa maagizo na mtu mmojaHamieni mitandao mingine wakuu
Hivyo vidakika kiduchu maana'ake hata kuongea Ni shiiida.Unakipatia wapi .... Na hii ndio afadhali kidogo kwa halotelView attachment 1740226
Hilo ni agizo la serikali hakuna mtandao utadharau hilo agizoHakuna cha mtandao mwingine wote wamebana kweli kweli, nahisi watakuwa walifanya kikao cha kimya kimya. Wakaamua kwa pamoja.
Airtel 1000 unapata 1gb!! 2000 unapata 2gb.. hii ndio inaniweka mjini kwa sasa.Tanzania ni nchi ambayo wananchi wake wanachezewa akili na viongozi wao kadri wanavyotaka!
SUALA la gharama za mitandao kuwa juu lilipigiwa sana kelele Bungeni. Tukaahidiwa litafanyiwa kazi, tukakaa tukasubiri tukiamini kilio cha Watanzania kitapatiwa utatuzi kweli tukatangaziwa kwa MBWEMBWE nyingi kwamba kuanzia APRILI bei ya VIFURUSHI itapungua, ajabu badala ya kupungua vimepanda! Hongera sana WAWAKILISHI wetu.View attachment 1740967
Hawa ni wafanya biashara ambao wamekubaiana kubeep uongozi mpya kuona nini kitatokeaTanzania ni nchi ambayo wananchi wake wanachezewa akili na viongozi wao kadri wanavyotaka!
SUALA la gharama za mitandao kuwa juu lilipigiwa sana kelele Bungeni. Tukaahidiwa litafanyiwa kazi, tukakaa tukasubiri tukiamini kilio cha Watanzania kitapatiwa utatuzi kweli tukatangaziwa kwa MBWEMBWE nyingi kwamba kuanzia APRILI bei ya VIFURUSHI itapungua, ajabu badala ya kupungua vimepanda! Hongera sana WAWAKILISHI wetu.View attachment 1740967
Now you are talking Mkuu..Unaongelea Mambo ya kuattack nmekwambia neno moja tu wewe ni stupid maana naonaga maneno yako humu si unaona unavoendelea kumuattack mtu usiyemjua
Tatizo ni CCM, periodTatizo ni wazee waliojazana huko serikalini, wakisikia internet wanajua vijana wanaangalia ngono tu na kuchat.
Ni swala la muda tuuAirtel 1000 unapata 1gb!! 2000 unapata 2gb.. hii ndio inaniweka mjini kwa sasa.