Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Basi endelea kuoperate kulingana na kiwango chako cha mtaji, na ulipe kodi. Na kama hauna uwezo wa kumudu hizi gharama za vifurushi,nikushauri toka Sasa Jf ukatafute hela.

You are so Dumb and foolish, huwezi hata elewa vitu vidogo sasa unaleta maswala sijui ya mitaji na kulipa kodi wakati tupo tunaongelea kuongezeka kwa running costs za mfanyabiashara anayetumia mitandao kupata pesa, halafu kingine Jf ni moja ya vitu vinavyoniingizia pesa wewe fara so sioni mantiki ya kuniambia nitoke Jf nikatafte hela. Anyway naweza kuwa najadiliana na ***** nmoja umekaa sebuleni kwa dada yako unasubiri bwana wenu akitoka kazini akupe hela ya bundle so huwezi kuelewa
 
Eeh Mfano mie nafanya kazi na kampuni flani ya kirusi kujipatia chochote kitu hata jana nimeenda hospitali kwa kutumia kipato nachotengeneza kupitia ile kampuni. Halafu anatokea bwege anapandisha bei ya vifurushi kiholela sababu yeye ana posho ya mawasiliano.

Naomba mama aturekebishie katiba na nafikiri ndio utakuwa mwisho wa kuweka viongozi wapumbavu madarakani.
 
Ndugulile na Makamba wote sio wazuri katika biashara ya teknolojia ya mawasiliano. Angekuwa mtu mwingine mwenye ujuzi mpana wa biashara ya IT.
Ndungulile hana washauri wazuri.Full stop! haya mambo ya technologia wangemuachia January Makamba.Namuonaga makamba yuko anlytical zaidi kuliko yule bwana Mganga Ndugulile
 
Napiga *149*81# naambiwa hiyo huduma hakuna natakiwa nipige *149*99#

Soon kupost kitu mtandaoni bila kukosa itakua ni nembo ya utajiri.

Wale waliokua wanaanzisha nyuzi miyeyusho kila sekunde 10 sijui hali itakuaje.
 
ndio nchi yetu ilipofika, wakisema wamesema nahawafuti, baada ya wiki tutazoea, uhuru wa kuenjoy maisha na kujiendeleza unakatwa kikatili
 
Sasa ndugu ww una uwakika gan hao vijana wa bavicha tu ndio masikn alaf uvccm ndio matajir ,maisha yalivyo usikute hao bavicha wana unafuu mtu kama ww bahat mbaya ukiwa kiongoz wa umma ni atar sana una ubaguz na roho mbaya ,ili ni tatzo kuna watu wanaathirika na hii hali hana ata uwelewa wa siasa acha ubinafs kama ww una nafuu wafikirie wenzio
 
Maisha magumu gb moja elfu tatu si Bora nile nyama, kwa mtindo huu serikali itazidi ku loose Kodi na makapuni ya simu, Mimi mwenyewe nitaacha kutumia mitandao ibaki jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…