Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Ndio kulimia meno kwenyewe huku.

Lakini wamasemaga katika nchi zote za EAC tz pekee ndio yenye bei rahisi za vifurushi


Nitakuwa wa mwisho kusadiki hili!

Na Pia inasemekana ndiyo pekee inaongoza kwa rates kubwa za kodi!
 
Wewe kama ni Mwanaume nina Mashaka sana Urijali wako au kama siyo Muokota Kuni ( Msukuma Ukuta wa Berlin ) mzuri mno tu Mjini hapa.
Kwani kulalamikia bei za vifurushi ndo ishara ya uanaume kamili? Kama ni hivyo,ni kweli mimi sio mwanaumw kamili maana siwezi kulalamika.

Ni mafukara tu,ndo wanaoweza kulalamikia bei za vifurushi ndogo kama hizo.Nimegundua humu jF kuna mafukara wengi tu tofauti na walivyokuwa wanajinasibu, na wewe ni mmoja waoπŸ˜‚.

Hasira zako peleka kwenye kazi, Ili upate hela ya kumudu bei mpya za vifurushi.
 
Mwendazake mwenyewe hayupo duniani katuachia msala sisi aisee, hawa viingozi wawe wanafikiria na sisi raia aisee
Kina ****** wanawaambia vijana waliowanyima ajira wajiajiri na vijana wanajiajiri kupitia mitandao na ndio wamewafuata kuwakamua kwa kupandisha bei ya data..
 
Naanzisha rasmi kampeni mitandaoni ya kuhimiza na kumshauri Mh. Rais Samia kututafutia Waziri mwingine mwenye kujua matatizo ya Watanzania aongoze Wizara ya Mawasiliano. #Ngugulile#Out#.
 
Mods tafadhali msiunganishe huu Uzi maalum na nyuzi nyingine za malalamiko.
 
Kina ****** wanawaambia vijana waliowanyima ajira wajiajiri na vijana wanajiajiri kupitia mitandao na ndio wamewafuata kuwakamua kwa kupandisha bei ya data..
Acha mtandao sukuhiz inatumika kwa mengi hata kujifunzia, mitandao imekuwa kitu cha muhimu kupata michongo why wapandishe hvo
 
Wewe ni fukara wa kutupwa.Mwenye hela hawezi lalamikia hizo bei ndogo za vifurushi, nina mashaka wewe ndo unaekaa kwa shemeji yako, au unaishi kwenye getto na wanaume wenzakoπŸ˜‚.
 
Tangu hii wizara ilipoanzishwa nikajua kinachofuata ni uharibifu tu kwenye tehama na si kutatua changamoto zilizopo.
Tunaamini Rais ni msikivu atatuondolea chanzo cha tatizo.
 
Yaani kuwaonjesha tu bei ndio mnalalamika hivi? Bei elekezi kwa mujibu wa Dr. Ndungulile ni Mb 1 @3-5 shs....ndio kwanza tupo kwenye 1Mb @3.3shs tukifika sh 5 mtaweuka kabisa!
 
Nani iyebuni wazo la kupandisha gharama za simu?
 
Kabisa.. afu bado Kuna wahuni wanasema internet ni ANASA, doohπŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…