Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Ndugu zangu kwa sasa maisha ya watanzania wengi ni magumu, hela hamna, Ajira hamna, biashara imekuwa ngumu!! Kitendo hiki kilichofanywa na TCRA sio cha kizalendo tulitegemea kuona nafuu lakini imekuwa kinyume chake, nani yupo nyuma ya hili??? Huku ndiko kumsaidia mwananchi wa kawaida au ndo kuchukua hata kile kidogo alicho nacho!! Naomba mamlaka husika iingilie kati lakini kiukweli hali ya vifurushi ni mbaya, wanyonge tumenyongwa kweli!!! Wabunge wakula kodi zetu naomba muingilie kati basi!!! Bashiru wewe na akina Esther bulaya hamna majimbo msichukue kodi zetu za bure!! Pigia kelele swala hili!!!
 
Internet kwa sasa ni muhimu kama ilivyo kwa chakula/maji.

Ni haki ya msingi kabisa kwa binadamu,sio anasa kutumia internet.

Hivyo bei zielekezwe kwa kuzingatia hilo.

Waache kuziwekea limit of use.. iwe hakuna kuchacha.
 
Hivyo vidakika kiduchu maana'ake hata kuongea Ni shiiida.
CCM MBERE KWA MBEREEEπŸ™„πŸ™„πŸ™„

Twaaafa huku gambe unakunywa tofali ..huku kifurushi tofali 2 ..yaani unakunywa tofali 3 kwa siku na hiyo ni minimal rate of consumption nevertheless average yet climax ... Uwiiii tutakuwa tunatumia mafuta ya vx kwa siku ..maweeeeee ... Jibira jibira wejasu
 
Nazima data nasoma comments chache af nawasha... Zina load kadhaa nazima tena data naanza kusoma moja moja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hivi nchi hii, tumemkosea Nini Mungu? Mbona hizi adhabu ni kubwa, Basi Mungu tunakuomba utufurahishe tena Mungu, kwa ajili ya serikali hii, Ili tufurahi tena.

Wangekuwa na Moyo mgumu kama wa farao. Eeh! Nchi inazama hivihivi.
 
Hii ni moja wapo ya kubana Uhuru wa habari! Turudi kwenye TBC ukweli na uhakika na wazee wa zee home!
 
Mie naona viongozi wetu wanatuongoza kwa kudhani kuwa, wananchi wa sasa ni sawa na wa mwaka 1935. Na wanalazimisha iwe hivyo. Yaani hawapaswi kufahamu chochote kuhusu dunia tofauti na ndani mwake.
 
Duuh hatari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…