Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Udini ndio njia pekee ya kufuta ujinga. Hutolielewa hilo kwa ujinga wako.
Nikikuuliza ni nini maana ya "udini" unapata kigugumizi kama wanasheria wenu wabovu.
Maana nimeambiwa mbeya huko ni viruko pia, hakuna lolote la maana, chumba kinanuka pombe.
Inasikitisha sanaMimi mwenyewe nakushangaa mjinga kama wewe, kila mada inayoletwa JF unaitazama kiudini.
Oh, Wow!Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.
Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?
Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.
Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.
Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.
Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?
Nasubiri majibu ya kijinga.
Yani wewe sasa ndio mjinga unae ongozaTutabaki kuwa wajinga mpaka kaburini.
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.
Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?
Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.
Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.
Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.
Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?
Nasubiri majibu ya kijinga.
Usinilishe maneno tafdhali. Kiuhalisia, hauna hoja na hivyo kunifanya ni kujibu kwa 'kiimtazamo' kana ulivyofanya wewe na wenzako.Kumbe "ujinga ni tusi?
Basi mzee yule alitutukana sana?
Nimefurahi kuwa hujapingana na hoja yangu. Ujinga ni adui yetu pekee kwamiaka zaidi ya 60 tokea uhuru wa Tanganyika.
We ajuza ni mpumbavu na si mjingaNani niliyemuita "mjinga"? Au na wewe unaleta ujinga wako?
"udini" ndiyo nini?
Hatupo serious tu mkuu hata serikali yetu nayo ndio hivyo hivyo.Ila kweli... Imagine kuna baba huku kwetu kila siku mtoto anaomba hela ya mtihani 1500 hana na mtihani ni Jumamosi ya kila wiki.....
Na baba kila siku anakuja na kitimoto kilo..
Mkuu una toa maoni na kuji Quote mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]SI TUNAHABARISHWA NA AKINA ASKOFU MWAMAKULA KWAMBA HATA HILI LA BANDARI WENZETU WAMEPATIWA PESA NYINGI SANA KUPITISHA MKATABA. SASA HIYO SI HATARI?
UFISADI NI TABIA YA KISHETANI KABISA. TAMAA YENYE UBINAFSI ULIOPINDUKIA MIPAKA.
ILI KUONDOKANA NA UJINGA LAZIMA KWANZA TUMJUE ALIYETULETEA HUO UJINGA.Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.
Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?
Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.
Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.
Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.
Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?
Nasubiri majibu ya kijinga.
Wajinga kama wewe Takadini ndio mtaji muhimu wa Ccm.Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.
Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?
Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.
Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.
Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.
Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?
Nasubiri majibu ya kijinga.
Andika kwa herufi ndogo, herufi kubwa hutumika kwa matangazo na ilani.ILI KUONDOKANA NA UJINGA LAZIMA KWANZA TUMJUE ALIYETULETEA HUO UJINGA.
BINAFSI NAAMINI CCM NDIO ILIYOTUFANYA TUWE WAJINGA MPAKA LEO.NA CCM INAJITAHIDI KUONGEZA IDADI YA WAJINGA ILI IWATAWALE.NA ILI TUONDOKANE NA UJINGA NI LAZIMA CCM IONDOKE KWANZA.
KWA SASA KUNA ONGEZEKO KUBWA LA WAJINGA TOKA VYUONI AMBAO PAMOJA NA KUSOMA KWAO BADO HAWAJUI KWANINI UMASIKINI UPO LICHA YA NCHI KUWA NA RASLIMALI KILA MKOA .
Mbona unapingana na Biblia tena? Soma na ni aliye na laana kwa mujibu wa Biblia, Waislam tunasema hapana, huyu aliyeandika haya ni muongo:Wajinga kama wewe Takadini ndio mtaji muhimu wa Ccm.
Ccm ni laana kwa Taifa letu.
Mimi nikiulizwa mjinga namba mmoja naweza kuona ni wwHili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.