digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu Nawewe anzisha Uzi wako Wa kuhamasisha katiba Mpya,kila mtu ana demands zake maishani,wewe hitaji lako ni katiba,huyu hitaji lake ni bando,Mimi hitaji langu ni ongezeko la mshahara.kwahiyo tusipangianeBadala ya kuhamasisha kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi wewe uko bize na vifurushi mkuu kweli?
Wote tuhamie huku tuwakomoeMitandao yote unatumia.
Unaweza kuisave au kudownload kwenye chrome
Tupo pamoja ..Daaaah mie nahamia freebasics.com rasmi sasa
Wameikata speed sahizi hata kudownload haizidi 1MB per Sec,,, Tanzania nchi ya kiduanzi sana yani, viongozi wameweka madarakani kupigania maslahi ya wananchi ila badili yake wao wamegeuka waharibifu wa maisha ya raia! Ina boa sanaaaaAlfu voda net ipo slow Sana Sana
Yeye mwenyewe akiunga bando atashtuka 🤣ngoja Samia asikie hili
Ebow nime nunua bado mara mbili nilijua bado sija nunua 12x2 yaani kono kono ana speedOhoo wengine wanasema voda ndio net yao ipo vizuri
Yaani wamenitia hasara nime nunua bando mara mbili nilijuwa bado dah wajinga sana hawa watu na voda wenyeweWameikata speed sahizi hata kudownload haizidi 1MB per Sec,,, Tanzania nchi ya kiduanzi sana yani, viongozi wameweka madarakani kupigania maslahi ya wananchi ila badili yake wao wamegeuka waharibifu wa maisha ya raia! Ina boa sanaaaa
Huo untakuwa ni Ufaustine Dugulile kabisa sasa.....Nahisi TTCL wanafanya hivyo ili waje walegeze wao harafu wawapindue kwenye soko