Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

Unataka wasanii watunge wimbo??
 
Wameikata speed sahizi hata kudownload haizidi 1MB per Sec,,, Tanzania nchi ya kiduanzi sana yani, viongozi wameweka madarakani kupigania maslahi ya wananchi ila badili yake wao wamegeuka waharibifu wa maisha ya raia! Ina boa sanaaaa
Nambie Zantel wanasemaje mkuu
 
Vibaki hivi hivi au viongezeke zaidi. Mitandaoni kumejaa watu wengi wajinga sana
Wakati dunia inaelekea 4th Industrial revolution na digital economy ''mnyonge'' anashabikia bando kupaa bei eti furaha yako watu wapungue tu.

Hizi roho za kwanini zinaturudisha nyuma waafrika..... Sishangai thou wana CCM hamjawahi kuwa na reasoning hta siku moja.
 
Kwani historia ya Mheshimiwa ishaanza kufundishwa.
Je Mheshimiwa day teyari ishakuwa authorized
Vipi lile sanamu pendwa
Siamini kama wamepandisha vifurushi kabla????
 
Unataka wasanii watunge wimbo??
Ata wakitunga nyimbo ok tu ,kama wanatunga nyimbo za kampen na maombolezo hawashindw kutunga nyimbo kwa mambo mengne cha msing ujumbe ufike haijalish watatumia njia gan
 
Kwani historia ya Mheshimiwa ishaanza kufundishwa.
Je Mheshimiwa day teyari ishakuwa authorized
Vipi lile sanamu pendwa
Siamini kama wamepandisha vifurushi kabla????
🤣🤣🤣
 
Serikali gani wakati vilipitishwa na wabunge .
 
Duuuh... kwa hiyo vile vikao vilivyokuwa vikifanyika pale TCRA ili kuboresha huduma na yule waziri ndio wameleta upuuzi huu???
ndio hivyo wanataka tuisome namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…