these are good memories to be preserved forthe benefits of future generation...BRAVO!
 
This page is excellent. Ukiwaambia vijana mabo yalivyokuwa wanadhani tunaongeza salt.Nadhani wanajionea wenyewe mabo yalivyokuwa. Mipango miji waende shule upya na kale ka ufisadi syndrome kapate tiba
 
Sokoine University of Agriculture(SUA)-1971

Naona ilikuwa nzuri safi sana ..
 
..Pure and clean blood... Hakuna cha 'ngoma' wala cha kutafuta 'rough rider'😛layball:... Siye wazamani tumefaidi, bana. Waliochelewa kuzaliwa watajijuuuu...
naona kulikuwa hakuana mambo ya kujikondesha etu ooh tunafanya diet ..Black beaty ,nywele nzuri no zazuu no kalikiti nywele twende Kilioni au mkungu wa ndizi
 
Nimeipenda sana hii thread sijui ilinipita wapi ..nzuri na imejaa kumbukumbu nzuri sana Nawapa Big up sana wote mlioleta Picha hata sisi wengine tumeweza kuona yaliyokuwepo miaka hiyo Tanzania ilikuwa safi Watu watulivu Mazingira tulivu na ya kuvutia Magari ye mwendo wa Kobe
 
Hey..Hey..!!!.. Completely off-topic..:A S-frusty: Usitukate stimu.

Enzi hizo nchi hii ilikuwa chini ya uongozi madhubuti wa Mheshimiwa hapa..
.........Hebu sikiliza point anazozungumza...

Last edited by a moderator:
naona kulikuwa hakuana mambo ya kujikondesha etu ooh tunafanya diet ..Black beaty ,nywele nzuri no zazuu no kalikiti nywele twende Kilioni au mkungu wa ndizi

Na kumpata binti enzi hizo, inabidi usote kwenye kona mtaa ukitongoza mara nyingine zaidi ya miezi sita hujaona ndani.!!
 
!!!!!!!!!!!!!!! Tunashukuru sana wadawu kwa kutukumbusha matukio mbalimbali hasa kama vile picha za zamani kwa ufupi nimefurahi sana.Ushauri wangu ni kwamba endeleni hivyo hivyo kutukumbusha.!!!!!!!!!!!!!!
 
Hee!!! Kumbe Serikali haijafanya kitu tangu Uhuru. Mpaka Chadema itakapoingia madarakani.
 
This page is excellent. Ukiwaambia vijana mabo yalivyokuwa wanadhani tunaongeza salt.Nadhani wanajionea wenyewe mabo yalivyokuwa. Mipango miji waende shule upya na kale ka ufisadi syndrome kapate tiba

Sasa nani kaharibu huo mfumo? Vijana ?
 
Buriani Ukoloni Buriani maendeleo. Tanzania nakupenda sana!
 
AM SO SO SO SO HAAAAAAAPY ULIYELETA HII THREAD UMENIFURAHSHA SANA U KNW SS WATU WA 1980's ukiona vtu kama hv ni raha tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…