Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kuhusu Chama Tawala sikuwa na mashaka nacho kwa upande wake wa uchumi hali kadhalika na sera zake, Labda kwa upande wa "Haki Kwa Wote" ndo sikuwa nafahamu kuhusu vyanzo vyao vya mapato.
Ubarikiwe sana mkuu Charles Mandela
 
Mkuu Charles Mandela shukrani sana.
...."Nikimaliza chuo nikae nyumbani mpaka nikue"
Waliniambia hivyo aisee! Waliniambia mimi bado mtoto sana! Nikae nyumbani mpaka nikue 😂😂

Halafu sasa, walikuwa wananipa mabinti zao na mimi nawatumia tu! Nilikuwa sielewi kitu! Kumbe nilitakiwa nioe mmoja wapo, mimi nikala kubwa 😂😂

Kuna BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] nilipewa pale MAKUMBUSHO, yule binti niliishi nae kwa muda wa miezi sita [ 6 ], baada ya hapo nikaenda nje ya nchi. Yule binti baadae tuliachana 😂😂

Nilivyo kwenda nje ya nchi sasa! Walinirudisha mbio, walisema mimi ni mtumishi wa SERIKALI, wakati sio kweli!

Yaani niliteseka sana! Halafu huwa hawasemi kuna nini.
 
Wakuu wameamua hivyo huna budi kutii sambamba na kujitwalia jumla binti mmojawapo katika hao ulomilikishwa.
 
Chama cha kwanza kuanzishwa kwa ajili ya kudai Uhuru kilikua ni TAAA jaribu kuGoogle waansilishi wa TAAA na TANU Ndio utajua Akina nani waliojitolea kwa ajili ya Uhuru na Leo Majina yao yapo wapi??
TAAA?
 
Kwani Makongoro vipi?
Hiyo familia yenyewe tu ya mwalimu imesahualika sembuse waliomsaport mwalimu, Watoto wa mwalimu hakuna hata mmoja alie kwenye mamlaka za juu za serikali hii yaani hata UDC tu hakuna wapeana wao.

Halafu watoto wa mtu ambae tunaamini alitengeneza njia ya Taifa lote hili wanaishi kwa juhudi zao na kazi zao hii sio sawa kabisa. Mwingine hadi kafariki jana tu sasa wapo wengi walio msaport mwalimu kipindi hicho lakini hawatajwi popote wala hawana saport yoyote ndugu
 
Nchi nyingi kua na changamoto nyingi kuliko TZ haimanishi tupo nafasi nzuri, Tungeweza kufanya vizuri zaidi ya hapa lakini tulifeli kwasababu ya mtu mmoja
Ile hotuba kali ya Mwalimu akisema kuna wanasiasa Mala** Mala** alikuwa akimpiga kijembe Kambona?
 
ni kweli kabisa mkuu
Kwa kweli habari za Oscar Kambona nilikuwa sizijui kwa kiasi hiki! Wakati huo tuliishia kuimba nyimbo za kumkashifu tu Kambona. Lakini pia ndio tuone siasa zilivyo za hivyo; mtu na best-man wake wanafarakana kiasi cha kuwindana ili watoane roho!
 
sioni sababu kwann mwalimu alimbrand mwenzake vibaya vile wakati waliua wanatoa jasho wote! kuna msemo wa kizungu unasema the winner takes it all, mwisho wa siku kambona hakutaka makuu aliamua kuacha kila kitu na kuondoka
 
Madaraka ni kitu hatari sana, watu wanatoana roho.

Nawakumbuka marafiki wawili, Thomas Sankara na Blaisie Compaore. Hawa jamaa walikuwa chanda na pete, wakapindua nchi na Thomas akawa Rais. Compaore akapata tamaa akapanga kumuua rafiki yake ili anyakue kiti. Watu wa Usalama wakamwambia Thomas kwamba Compaore anapanga kukuua na kutwaa madaraka, Thomas akawaambia huyo ni rafiki yangu na ananifahamu vyema kama kaamua hivyo siwezi kumzuia. Kweli Compaore akamuua Thomas na kuchukua madaraka.
 
shida inakuja kwanini mashujaa kama hawa wamewaficha wakati walishiriki kikamilifu harakati zote praise zote ni kwa mwalimu
 
"Pesa" au "madaraka" na "mwanamke" sijui kuna nini ndani vitu hivyo, Tunabadilika sana pindi tunapomiliki kimojawapo kati ya hivyo.
 
Ngoja tuelezane ukweli - kwenye kipindi hiki cha COVID-19 inabidi tufunguke hasa, pale COVID-19 itakapoisha tutakuwa hatuna muda tena wa kujadili mambo kwa kina na kwa kirefu kama hivi.

Mimi nilifanikiwa kuwa Rais wa CoHSS pale UDOM mwaka 2012/13. Na hatua zangu mpaka kufikia ngazi ya Urais ilikuwa sio nyepesi maana nilianza kuwa DEPUTY SPEAKER, SPEAKER, COUNCIL SECRETARY na hatimae PRESIDENT of COLLEGE OF HUMANITY & SOCIAL SCIENCES [ CoHSS ].

Na baada ya kuwa Rais wa CoHSS, nilichukuliwa moja kwa moja mpaka ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] pale WHITE HOUSE.

Kwa wale wafanyakazi wa pale WHITE HOUSE watakubaliana na mimi - kuwa ukifika kwenye lile jengo kuna chumba kidogo na chembamba kama SERO YA POLISI. Hicho chumba hakina madirisha wala sehemu ya kupitishia hewa.

Na huwa kuna kiti ambacho HAYATI MWALIMU alikuwa anakitumia kutoa maamuzi ya mwisho ambayo yanahusu chama na serikali. Hicho chumba kimebaki hivyo hivyo kama kumbukumbu.

Nilivyofika kwenye kile chumba wakaniambia wewe unafanana na yule aliyekuwa anakitumia hicho kiti, yaani HAYATI MWALIMU. Na wakaniambia mimi bado mdogo sana - hata umri aliotawala HAYATI MWALIMU bado sijaufikisha. Kipindi hicho nilikuwa nina miaka ishirini na tatu [ 23 ] tu.

Baada ya kunieleza historia ya kile CHUMBA - wakaniambia hivi nikimaliza CHUO nikakae nyumbani mpaka nikue [[emoji23][emoji23]]. Sikuelewa wanamaanisha nini?

Nikatoka pale nikaendelea na mambo yangu kama kawaida ya kumalizia mwaka wa mwisho wa masomo ya 2013/14.

Lakini kwa upande wa SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU vyote hapa TANZANIA [emoji1241] huwa kuna mchakato wa kuangalia ni viongozi gani wanafaa kwa ajili ya matumizi ya SERIKALI, huwa wanaita ni VETTING PROCESS.

Na wakishaona unafaa kuwa kiongozi wa SERIKALI, huwa kuna ishara wanakuonesha. Hii ishara huwa ni ya BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] asiye kuwa na dini, hii ikiwa na maana ya SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241].

Huyu BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] unaweza kuwa nae kwenye mahusiano ya kimapenzi au hata ndoa. Hii ikiwa ni ishara ya mafungamano na SERIKALI.

Kama hali hii haijawahi kukutokea, sahau kuwa kiongozi [ Rais ] wa nchi hii, yaani TANZANIA [emoji1241].

Na huyu BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] huwa ananyumbulisha maumbile yake kama anafanya mazoezi ya viungo, kwahiyo sehemu zote za mwili utaziona wakati wa tendo. Hii ikiwa ni ishara ya SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241] na TAASISI zake.
Hii ni mpya sana na hainiingii akilini!
Rais huchaguliwa kwa kuzingatia mahitaji ya muda huo.

Mambo ya kuishi na wanawake sidhani
 
Ngoja tuelezane ukweli - kwenye kipindi hiki cha COVID-19 inabidi tufunguke hasa, pale COVID-19 itakapoisha tutakuwa hatuna muda tena wa kujadili mambo kwa kina na kwa kirefu kama hivi.

Mimi nilifanikiwa kuwa Rais wa CoHSS pale UDOM mwaka 2012/13. Na hatua zangu mpaka kufikia ngazi ya Urais ilikuwa sio nyepesi maana nilianza kuwa DEPUTY SPEAKER, SPEAKER, COUNCIL SECRETARY na hatimae PRESIDENT of COLLEGE OF HUMANITY & SOCIAL SCIENCES [ CoHSS ].

Na baada ya kuwa Rais wa CoHSS, nilichukuliwa moja kwa moja mpaka ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ pale WHITE HOUSE.

Kwa wale wafanyakazi wa pale WHITE HOUSE watakubaliana na mimi - kuwa ukifika kwenye lile jengo kuna chumba kidogo na chembamba kama SERO YA POLISI. Hicho chumba hakina madirisha wala sehemu ya kupitishia hewa.

Na huwa kuna kiti ambacho HAYATI MWALIMU alikuwa anakitumia kutoa maamuzi ya mwisho ambayo yanahusu chama na serikali. Hicho chumba kimebaki hivyo hivyo kama kumbukumbu.

Nilivyofika kwenye kile chumba wakaniambia wewe unafanana na yule aliyekuwa anakitumia hicho kiti, yaani HAYATI MWALIMU. Na wakaniambia mimi bado mdogo sana - hata umri aliotawala HAYATI MWALIMU bado sijaufikisha. Kipindi hicho nilikuwa nina miaka ishirini na tatu [ 23 ] tu.

Baada ya kunieleza historia ya kile CHUMBA - wakaniambia hivi nikimaliza CHUO nikakae nyumbani mpaka nikue [😂😂]. Sikuelewa wanamaanisha nini?

Nikatoka pale nikaendelea na mambo yangu kama kawaida ya kumalizia mwaka wa mwisho wa masomo ya 2013/14.

Lakini kwa upande wa SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU vyote hapa TANZANIA 🇹🇿 huwa kuna mchakato wa kuangalia ni viongozi gani wanafaa kwa ajili ya matumizi ya SERIKALI, huwa wanaita ni VETTING PROCESS.

Na wakishaona unafaa kuwa kiongozi wa SERIKALI, huwa kuna ishara wanakuonesha. Hii ishara huwa ni ya BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] asiye kuwa na dini, hii ikiwa na maana ya SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Huyu BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] unaweza kuwa nae kwenye mahusiano ya kimapenzi au hata ndoa. Hii ikiwa ni ishara ya mafungamano na SERIKALI.

Kama hali hii haijawahi kukutokea, sahau kuwa kiongozi [ Rais ] wa nchi hii, yaani TANZANIA 🇹🇿.

Na huyu BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] huwa ananyumbulisha maumbile yake kama anafanya mazoezi ya viungo, kwahiyo sehemu zote za mwili utaziona wakati wa tendo. Hii ikiwa ni ishara ya SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 na TAASISI zake.
yaani nshindwa kuelewa kabisa is this for real?
 
Hii ni mpya sana na hainiingii akilini!
Rais huchaguliwa kwa kuzingatia mahitaji ya muda huo.

Mambo ya kuishi na wanawake sidhani
Huwa wanafanya hivyo ili kufahamu hali ya kimaumbile. Unaweza kuwa hanithi au sio hanithi, lakini ukiwa hanithi hupaswi kufanyiwa VETTING PROCESS.

Na kwa upande wa wanawake huwa wanafanyiwa hivyo hivyo ili kufahamu hali ya kimaumbile. Unaweza kuwa ni dume jike au sio dume jike, lakini ukiwa dume jike hupaswi kufanyiwa hata VETTING PROCESS.

Na hii ipo kwa MATAIFA YOTE pamoja na KANISA KATOLIKI huwa wanafanya hivyo.
 
We ni mwanausalama? Unayajuaje haya?
Kuyaweka wazi hakuwezi kukuletea matatizo?
 
Kuhusu Chama Tawala sikuwa na mashaka nacho kwa upande wake wa uchumi hali kadhalika na sera zake, Labda kwa upande wa "Haki Kwa Wote" ndo sikuwa nafahamu kuhusu vyanzo vyao vya mapato.
Ubarikiwe sana mkuu Charles Mandela
CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ni chama bora, tofauti kabisa na vyama vingine vya upinzani.

Tofauti na kuwa na uchumi mkubwa, CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kwa kipindi chote tangu 1993 kilijikita upande wa TANZANIA VISIWANI yaani ZANZIBAR.

Vile vile CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ni chama cha kisiasa kilichotumia muda mwingi kujilinda kuliko kushambulia.

CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ni chama cha kisiasa kilichotumia muda mwingi kujilinda kisiporomoke kama vyama vingine vya kisiasa kama UDP, TLP na NCCR - MAGEUZI.

Kwahiyo hawa viongozi waliopo CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ni watu wa kuwapongeza, kwa sababu wasingelikuwa wao nadhani CUF Habari ingelikuwa imebaki kwenye makaratasi tu.

Ni muda umefika sasa wa kubadilisha aina ya SIASA inayofanywa kwa wakati huu ili kupata mbinu na fikra mpya za kushindana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.
 
We ni mwanausalama? Unayajuaje haya?
Kuyaweka wazi hakuwezi kukuletea matatizo?
Mimi sio mwanausalama! Lakini nilitumia muda mwingi sana kujihusisha na SIASA ZA CCM kipindi nipo CHUO KIKUU CHA DODOMA.

Na nilifanikiwa kukutana na INNER CIRCLE ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kipindi hicho, 2013.

Ukizingatia mimi nilikuwa "MWANAFUNZI BORA" kidato cha nne, 2007 - kwahiyo na wao pia walikuwa na shahuku ya kufahamu maendeleo yangu ya kitaaluma.

Tofauti na hapo, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ni chama bora sana na kinafanya SIASA ZA KIMATAIFA, hali ni tofauti kabisa na watu wengi wanavyodhani huku uraiani. Hawa watu wamejipanga!
 
Mimi sio mwanausalama! Lakini nilitumia muda mwingi sana kujihusisha na SIASA ZA CCM kipindi nipo CHUO KIKUU CHA DODOMA.

Na nilifanikiwa kukutana na INNER CIRCLE ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] kipindi hicho, 2013.

Ukizingatia mimi nilikuwa "MWANAFUNZI BORA" kidato cha nne, 2007 - kwahiyo walikuwa na shahuku ya kufahamu maendeleo yangu ya kitaaluma.

Tofauti na hapo, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] ni chama bora sana na kinafanya SIASA ZA KIMATAIFA, hali ni tofauti kabisa na watu wengi wanavyodhani huku uraiani. Hawa watu wamejipanga!
Kwa maelezo yako CCM ni mali ya Wajerumani na Waitaliano, kwa maana hiyo tunatawaliwa na nchi hizo?
 
Back
Top Bottom