Ngoja tuelezane ukweli - kwenye kipindi hiki cha COVID-19 inabidi tufunguke hasa, pale COVID-19 itakapoisha tutakuwa hatuna muda tena wa kujadili mambo kwa kina na kwa kirefu kama hivi.
Mimi nilifanikiwa kuwa Rais wa CoHSS pale UDOM mwaka 2012/13. Na hatua zangu mpaka kufikia ngazi ya Urais ilikuwa sio nyepesi maana nilianza kuwa DEPUTY SPEAKER, SPEAKER, COUNCIL SECRETARY na hatimae PRESIDENT of COLLEGE OF HUMANITY & SOCIAL SCIENCES [ CoHSS ].
Na baada ya kuwa Rais wa CoHSS, nilichukuliwa moja kwa moja mpaka ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] pale WHITE HOUSE.
Kwa wale wafanyakazi wa pale WHITE HOUSE watakubaliana na mimi - kuwa ukifika kwenye lile jengo kuna chumba kidogo na chembamba kama SERO YA POLISI. Hicho chumba hakina madirisha wala sehemu ya kupitishia hewa.
Na huwa kuna kiti ambacho HAYATI MWALIMU alikuwa anakitumia kutoa maamuzi ya mwisho ambayo yanahusu chama na serikali. Hicho chumba kimebaki hivyo hivyo kama kumbukumbu.
Nilivyofika kwenye kile chumba wakaniambia wewe unafanana na yule aliyekuwa anakitumia hicho kiti, yaani HAYATI MWALIMU. Na wakaniambia mimi bado mdogo sana - hata umri aliotawala HAYATI MWALIMU bado sijaufikisha. Kipindi hicho nilikuwa nina miaka ishirini na tatu [ 23 ] tu.
Baada ya kunieleza historia ya kile CHUMBA - wakaniambia hivi nikimaliza CHUO nikakae nyumbani mpaka nikue [[emoji23][emoji23]]. Sikuelewa wanamaanisha nini?
Nikatoka pale nikaendelea na mambo yangu kama kawaida ya kumalizia mwaka wa mwisho wa masomo ya 2013/14.
Lakini kwa upande wa SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU vyote hapa TANZANIA [emoji1241] huwa kuna mchakato wa kuangalia ni viongozi gani wanafaa kwa ajili ya matumizi ya SERIKALI, huwa wanaita ni VETTING PROCESS.
Na wakishaona unafaa kuwa kiongozi wa SERIKALI, huwa kuna ishara wanakuonesha. Hii ishara huwa ni ya BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] asiye kuwa na dini, hii ikiwa na maana ya SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241].
Huyu BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] unaweza kuwa nae kwenye mahusiano ya kimapenzi au hata ndoa. Hii ikiwa ni ishara ya mafungamano na SERIKALI.
Kama hali hii haijawahi kukutokea, sahau kuwa kiongozi [ Rais ] wa nchi hii, yaani TANZANIA [emoji1241].
Na huyu BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] huwa ananyumbulisha maumbile yake kama anafanya mazoezi ya viungo, kwahiyo sehemu zote za mwili utaziona wakati wa tendo. Hii ikiwa ni ishara ya SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241] na TAASISI zake.