Imedhibitiwa kwa vp mkuu?Wengi waiathirika na corona kutokana na kuwa na HOFU. Baada ya raisi kututoa hofu na kutoa mbadala kwamba tupige nyungu kwa kwenda mbele, mtaani kwenu wamekufa wangapi kwa corona? Umefiwa na ndugu zako wangapi kwa corona? Kazini kwako je? Ugonjwa upo, ila umedhibitiwa. Tujifunze kuishi na corona. Tuendelee na majadala na tuendelee kuchukua hatua.
Nimetaja kwenye hio post uliyoni quote. Tumetumia mbinu mbadala badala ya hizi conventional zinazopigiwa chapuo na WHOImedhibitiwa kwa vp mkuu?
Huyo aseme tu yeye ni agent wa biashara za pharmaceutical kwahiyo wanaona tz inaharibu hali ya hewa kibiashara. Covid19 hawaiondoi Leo wala keshoKuiondoa Corona barani Africa?! Anaota huyo, USA,UK,China wameshindwa kuiondoa Corona itakuwa bara hili lenye huduma za afya za kuungaunga?!
Unaona?Corona ni mradi wa kupiga mahela kwa hawa jamaa wanaolazimisha data ili wamiminiwe mapesa, Corona siyo threat kama Ebola na Maralia kwa sisi Waafrica.
And who believe that nonsense?Mkapa kafariki kwa walichokitaja. Tuheshimu taaluma ya utabibu na taarifa rasmi za familia yake
Mbona taarifa zinatolewa kila siku kuwa Tanzania hakuna Corona. Hata jana Mh. Rais katangaza kuwa Tanzania hakuna Corona. Kwani hawaoni tunavyojichanganya mitaani bila barakoa. Kiongozi gani wa nchi wamemuona akiwa na barakoa."Tunaendelea kutumaini na kuiomba Tanzania kuripoti hali ilivyo ili tuweze kufanya kazi kwa pamoja na kuondoa virusi hivi katika bara hili," alisema.
"Tunaendelea kuwasiliana na Tanzania lakini bado hatujapata majibu ambayo tunayatarajia," alisema.
Malaria ni hatari kuliko Corona! Inaua kila siku wakubwa kwa wadogo. Hawa CDC mbona hawaifuti malaria Africa?!Wengi waiathirika na corona kutokana na kuwa na HOFU. Baada ya raisi kututoa hofu na kutoa mbadala kwamba tupige nyungu kwa kwenda mbele, mtaani kwenu wamekufa wangapi kwa corona? Umefiwa na ndugu zako wangapi kwa corona? Kazini kwako je? Ugonjwa upo, ila umedhibitiwa. Tujifunze kuishi na corona. Tuendelee na majadala na tuendelee kuchukua hatua.
Mbona wanatulazimisha kua na ugonjwa
Mkuu unamtu unaemjua au kusikia anaumwaHawalazimishi, ila ugonjwa upo, japo sio kwa viwango vya kutisha.
Mbona taarifa zinatolewa kila siku kuwa Tanzania hakuna Corona. Hata jana Mh. Rais katangaza kuwa Tanzania hakuna Corona. Kwani hawaoni tunavyojichanganya mitaani bila barakoa. Kiongozi gani wa nchi wamemuona akiwa na barakoa.
Kwamba majibu wanayotarajia wao ni kuona Tanzania kuna Corona, wagonjwa wengi, maiti zimetapakaa mitaani. Hizi ndizo taarifa wanazozitarajia wao.
Mkuu unamtu unaemjua au kusikia anaumwa
Ndio mantiki ya hoja yangu. Ingekuwa ugonjwa uko widespread, lazima tungekua tunalia kila siku kwamba tumepoteza majirani, workmates, schoolmates na makaburi ya jumuiya (mass graves) kama Brazil, Mexico na Italy yangekuwepo kila mtaa. Naona kutokuwa na lockdown na kusisitiza kupiga nyungu kumesaidia kutosambaza ugonjwa zaidi. Lakini pia HOFU iliua sana watuView attachment 1529717
Walituambia bila ya lockdown ivyo ndio Corona itakavyotambaa.
Tanzania aijawahi kuwa na lockdown sasa kama mtu mmoja anaweza ambukiza watu 406 kwa mwezi na kila anaembukizwa anaweza ambukiza watu 406 surely ugonjwa wenye kuambukiza kwa kasi hiyo auwezi kuwa siri kwenye jamii ata serikali ikisema ifiche data.
China walificha data kilichowapata dunia nzima iliona. Tanzania Corona sijui miujiza gani ilitokea lakini ukweli ni kwamba aipo.