pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Acheni ujinga nyie mnaowaza bila akili! COVID ipo na inaua sana tu. Tatizo sisi Tz. hatutangazi matokeo ya upimaji kama nchi nyingine zinavyofanya!Utafiti ambao wazungu itawachukua muda mrefu ni kwanini watanzania hawajapata corona na hakuna case yeyote iliyoripotiwa na wakiangalia Kenya, Uganda wote kesi za corona zipo.
Wao hawajui kuwa hata wale Nzige kwetu hawakugusa walienda Kenya, Uganda wakafika Kagera wakageuza kwenda India
Tuendeleee kuomba Mungu
Tuendelee. Kujifukiza
Mkuu upo mkoa gani?Acheni ujinga nyie mnaowaza bila akili! COVID ipo na inaua sana tu. Tatizo sisi Tz. hatutangazi matokeo ya upimaji kama nchi nyingine zinavyofanya!
Wachana na awamu ya tanoRipoti iliyotolewa na Kituo cha Bara la Ulaya cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (ECDC) na baadaye ripoti hiyo kuchambuliwa na kusomwa na kituo kikubwa cha habari cha nchini Ujerumani cha Deutsche Welle (DW) imeitaja Tanzania kuwa nchi pekee duniani ambayo haijaripoti maambukizi yoyote ya mgonjwa wa Corona kwa wiki nne (4) zilizopita huku ikiwa salama na ugonjwa huo hatari duniani kwa sasa kwa takribani wiki 46.
Ripoti hiyo iliyotolewa na kituo hicho chenye makao makuu yake jijini Solna nchini Sweden, inaeleza kwamba wakati dunia nzima ikiwa kwenye giza totoro na isijue la kufanya kwa kuendelea kuripoti maambukizi ya Corona kila kukicha, Tanzania iko salama kabisa na balaa hilo na watu wakiendelea na shughuli zao za kila siku bila ya vizuizi wala masharti yoyote ya Corona.
CHANZO: CRI Swahili
Nmecheka snaa
Ficha ujinga wako
Dem nuh wan fi nuh dem history yuh nuh see say dem a goonYou're wrong....Jikubali wewe ni true mtanzania...epuka utumwa wa kifikra.
Ugonjwa unao sambaa kwa kasi na kuuwa kwa muda mfupi huwezi kuficha taarifa zake za wagonjwa na vifo. Misiba ingekuwa mingi sana, na watu usingewaona wanajazana kwenye matukio makubwa kama kwenye mechi ya Simba na Yanga.Unajuaje hilo? Unahakikishaje hilo?
Corona huambukizwaje? Kwanini watu huekwa lockdown??Lissu na timu ya taifa ni asilimia ngapi ya watu wote wa Tanzania?
Lini tutaanza kuokota maiti huko barabarani?Acheni ujinga nyie mnaowaza bila akili! COVID ipo na inaua sana tu. Tatizo sisi Tz. hatutangazi matokeo ya upimaji kama nchi nyingine zinavyofanya!
Lissu na timu ya taifa ni asilimia ngapi ya watu wote wa Tanzania?
Leta takwimuAcheni ujinga nyie mnaowaza bila akili! COVID ipo na inaua sana tu. Tatizo sisi Tz. hatutangazi matokeo ya upimaji kama nchi nyingine zinavyofanya!
Nakubali mzee baba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani Ile mechi ya SIMBA na YANGA watu walivyojazana vileee....
Yaani kampeni za CCM na CDM na ile nyomiii....
Mapambano ya kina MWAKINYO na wengineo.....
HAKIKA ASHUKURIWE MUUMBA MBINGU NA NCHI...MUNGU PEKEE WA MWANZO NA MWISHO....Umetakasika Umetakasika Umetakasika!!!
Lakini mkuu hizo oxgen si zilikuwa zinatumika kabla hata ya corona?Isiyokuwa na Corona au haijaripoti Corona?
Haya ni mambo mawili tofauti.
Kuna mtu yuko hospitali alikuwa anapewa oxygen namfuatilia kama wamemtoa kwenye oxygen.
"Marehemu alikuwa akiugua na maradhi mengine"Tumewapoteza wapendwa wetu wengi sana na huu ugojwa sababu data zilikuwa zinafichwa na baadae watu waliokuwa wanakufa na huu ugojwa madaktali walitoa ripoti ya mengine yaliyokuwa yanaua
Kama hupimi utajuaje ugonjwa haupo? Ni kisa cha mbuni kufukia kichwa ardhini akidhani adui hamuoni.Ripoti iliyotolewa na Kituo cha Bara la Ulaya cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (ECDC) na baadaye ripoti hiyo kuchambuliwa na kusomwa na kituo kikubwa cha habari cha nchini Ujerumani cha Deutsche Welle (DW) imeitaja Tanzania kuwa nchi pekee duniani ambayo haijaripoti maambukizi yoyote ya mgonjwa wa Corona kwa wiki nne (4) zilizopita huku ikiwa salama na ugonjwa huo hatari duniani kwa sasa kwa takribani wiki 46.
Ripoti hiyo iliyotolewa na kituo hicho chenye makao makuu yake jijini Solna nchini Sweden, inaeleza kwamba wakati dunia nzima ikiwa kwenye giza totoro na isijue la kufanya kwa kuendelea kuripoti maambukizi ya Corona kila kukicha, Tanzania iko salama kabisa na balaa hilo na watu wakiendelea na shughuli zao za kila siku bila ya vizuizi wala masharti yoyote ya Corona.
CHANZO: CRI Swahili
Mkuu unakumbuka hospitali wahudumu walikuwa wanaogopa wagonjwa kipindi kile cha mwanzoni mwanzoni? Muhimbili pale ulikuwa hupiti bila barakoa na lazima upigwe sanitizer wakati wa kuingia na kutoka,ila sasa hakuna hayo mambo unaingia na kutoka kama kawaida uvae barakoa usivae hakuna mwenye kukuuliza.Wewe ndio umethubutu kusema kweli watu wengi wanapotea mno na huu ugonjwa kama hutaambiwa kifua kimebana ghafla utaambiwa homa kali. Bado watu wanasema hakuna corona....... Mungu tuu atuepushe kwa kweli
Unajua ukisema hawaripoti maana yake wanazo hizo taarifa za vifo vya corona ila hawazitangazi?Wakikuelewa uniambie wanakwambia isiyokuwa na corona wakati ni nchi isiyoripotiwa kifo cha corona
Na tatizo lawama zetu ni kwa hao viongozi masokwe kana kwamba tumewatoa msituni kumbe wametokana na sisi,yani ni marafiki zetu ndugu na jamaa zetu ndio hupatikana hao viongozi masokwe. Suluhisho ni sisi kuacha kuwa masokwe ndio hatutopata viongozi masokwe ila bila ya hivyo tutaendelea kupata viongozi masokwe tu.Hahahaa..
nchi inayoongozwa na maviongozi masokwe ni vichekesho sana!
Tatizo kupata au kuugua?Njia pekee ya kuzuia corona ni kuacha kupima na ndio mbinu iliyotumika na jiwe, juzi nilikua rusumo mpaka wa rwanda na tz raia wanapimwa na wanapatwa na coronya sema sijui kwann hawaitangazi