miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,516
Mengi alimnyanyapaa acha apumzike, Mungu akupi vyote mengi ana pesa lakini hana hekima. Hatofautiani na Bwana jiwe.
kwa hiyo suluhu ilikuwa kumuua au,je leo hii ukigundua wewe mkeo anataka kukuua utakaa naye bado,Mkuu huwezi jua pengine mama alikuwa anamuona mzee hamjali tena, na akikumbuka waliko toka lazima kichwa kimvuruge. Wakati mwingine sisi wanaume ni shida sana.
nasikia na yule mke wa bilionea msuya naye kakiri kumuua wifi yake Anette kisa mali za marehemu msuya,nyie wanawake nyie Mungu anawaonaNadhani karibia ya wanawake wote wapo hivyo mioyo yao ikivunjika[emoji3][emoji3]
Mkuu hayo mambo yasikie tu kwa wengine 😀😀nadhani hali kama hiyo ikifikia hapo ujue ilikua inafuka moshi kitambo. Wanawake ni noma sana.kwa hiyo suluhu ilikuwa kumuua au,je leo hii ukigundua wewe mkeo anataka kukuua utakaa naye bado,
alitaka kumuua kwa sumu ndo mzee akaona na isiwe shida mtu kama huyo unakaa naye ndani kama nani,tafuta chanzo usikurupuke utake kunitoa uhai nikuchekee tu kisa ndoa au?Huyu Mzee alikuwa na mke mzuri tu tena wa ujana wake akamtosa na kumwoa kahaba,hapo ndo nilimdharau sana huyu mzee
DUh inawezekana aliendelea kumpa malezi 100℅alitaka kumuua kwa sumu ndo mzee akaona na isiwe shida mtu kama huyo unakaa naye ndani kama nani,tafuta chanzo usikurupuke utake kunitoa uhai nikuchekee tu kisa ndoa au?
Kuna watu tangu 1993 mpaka Leo,nyie mnazungumzia 2003?Sijui una maana gani ulipotoa hii comment hapa lakini mimi nataka kusema hayo ''maradhi ya kisasa'' siku hizi siyo lazima uwe tajiri ili uishi. Kuna wengi nawafahamu (siyo matajiri) wanatumia dawa tangu miaka ya 2003-2005 na mpaka sasa wanaishi maisha ya kawaida kabisa. Ni kufuata masharti tu.
sio inawezekana alikuwa anachukua hela ndefu kwa mwezi chini ya wakili wakeDUh inawezekana aliendelea kumpa malezi 100℅
Duh adi wakili?sio inawezekana alikuwa anachukua hela ndefu kwa mwezi chini ya wakili wake
Kama wewe ulivyomkimbia mume wako baada kukosa kuingia mjengoni.Lazima afe huyu mama ameteseka kweli. Mwanaume siyo ndugu yako.
Madam alijichanganya mwenyewe kwa waziri kijana wa enzi hizo. Mzee aliboreka vibaya vibaya na hakwenda mbali alimvuta shost wa madamDah mjini kazi hivi alimpindua vipi Ritha ?
Watu past experiences zenu zina wa haunt mnaishia ku generalize kila kitu ..wewe Mbeya mbona ulimkimbia mume ? Unajua sababu iliyofanya Mengi kumkimbia mkewe ?Lazima afe huyu mama ameteseka kweli. Mwanaume siyo ndugu yako.
Wakati maana ukoo wa Shangali wanamchango mkubwa kwenye utajiri wake.Huyu dingi fala sana alipoanza kutajirika tu akamtosa mama wa watu
Unajua Sababu za kuoa Mwanamke mwingine?Huyu Mzee alikuwa na mke mzuri tu tena wa ujana wake akamtosa na kumwoa kahaba,hapo ndo nilimdharau sana huyu mzee
Maisha ya ndoa ya watu huwezi kuyafanyia uamuzi na kumlaumu mzee,Huyu Mzee alikuwa na mke mzuri tu tena wa ujana wake akamtosa na kumwoa kahaba,hapo ndo nilimdharau sana huyu mzee
Inamaana mama wawili alikuwa ni shost ake na marehem??Madam alijichanganya mwenyewe kwa waziri kijana wa enzi hizo. Mzee aliboreka vibaya vibaya na hakwenda mbali alimvuta shost wa madam
Mama alimpenda sana mzee na ameshiriki mno katika mafanikio. Kila mara alipata Matatizo ya moyo kwa habari za mzee na totoz.Unajua Sababu za kuoa Mwanamke mwingine?
No marehemu ni mkubwa sana and she had a class girl.Inamaana mama wawili alikuwa ni shost ake na marehem??