TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Humu ngoja tu nitoke mana naona mapicha picha tu, kwan aliemuo k lyn n nan? Au ndo huyo jack? Huyo ritha nae ndo nan?

BTW ngoja niende zangu nikanunue mtindi nile na ugali, nimenunua samak yule bwege kumbe kaniwekea mbich, asaiv ananikodolea macho tu hapa na mindevu yake, pemben kuna mbu wanatembea na garoni kbsa wanasubr nizime, umaskin tabu sana

R.I.P japo leo ndo nimemskia
 
Wakati maana ukoo wa Shangali wanamchango mkubwa kwenye utajiri wake.
Mchango upi? Wacheni kuzusha...

Hata kama asingekuwa anatokea elite family still dada zake walishaolewa na familia zenye mizizi ya utajiri. Dada yake Aishi ni mke wa babake Mbowe. Babake Mbowe alikuwa a very good friend na Nyerere, Kakake Elitira alishakuwa tajiri na ndiye alimsomesha Mengi mpaka Scotland..

Afterall Mengi asingekuwa na uwezo asingeweza kwenda kuoa familia ya kimangi..
 
R.I.P
 
[emoji2][emoji2]
 
Ngoo inuka nla uwe kumbwa iruweu,Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…