Bintiwamoyo
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 610
- 829
Marehemu ndiye mke wa Mengi, hiyo mwingine ni Jambazi tu
Mimi hapa ndio nashangaa sana hiiv mtu akisema anakula bata ndio wanawake wanasema vituko mkoje lakini?? Vituko kwan mzee alitembea bila surual yuleUkweli bila chenga. Lakini mama alivumilia mno vituko vya dingi.
He masikini alikuwa mzuri bado na uzee wake. RIP mama.Habari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more. Mama Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside Afrika Kusini akipatiwa matibabu.
Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.
Mrs Mercy Mengi ninmama yake Regina, Marehemu Mutie na Abdiel (Mke wa kwanza wa Reggy Mengi)
Mwili utasafirishwa kuletwa nchini
RIP Mama.
LUBEDE hiyo picha hapo huioni kweli!!!!Picha tafadhali...
Jack sasa kawa mke kamili. Maana kifo kimewatenganisha Mercy na Reginald.
Mbona sasa wanasema mwanzilishi jamani wa ipp media?Huyo ni mke wa ndoa wa MENGI
Walitengana wakawa business partners heshima gani unataka zaidi ya hiyo? Acheni unafki..Mbona sasa wanasema mwanzilishi jamani wa ipp media?
kwanini hapewi heshima yake?
Aiseeee mashetani watu
Mke Mmoja Tu Na Kifo Ndicho KitawatenganishaWalitengana wakawa business partners heshima gani unataka zaidi ya hiyo? Acheni unafki..
Hv unajua mazoo alishawahi kumpoison some fazooUkweli bila chenga. Lakini mama alivumilia mno vituko vya dingi.
Umemetendea Haki Marehemu kuliko hata Mume wake!Habari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more. Mama Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside Afrika Kusini akipatiwa matibabu.
Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.
Mrs Mercy Mengi ninmama yake Regina, Marehemu Mutie na Abdiel (Mke wa kwanza wa Reggy Mengi)
Mwili utasafirishwa kuletwa nchini
RIP Mama.
DAH HUYO HOUSEGIRL KWELI HAKUDEDISHWA KWELI MAANA ALIINGILIA MISHENITOWN YA WATU NA KAMA HAPANAChanzo cha kutengana kwao: Ni baada ya jaribio la mama huyu kutaka kumlisha sum* mzee Meng* kufeli. Aliyemtonya mzee alikua housegir*.
Yaani pesa ndo kila kitu in Mr blue voice jack kamsababishia mama wa watu kifo mastress kibao pesa atafute mwingine yeye aponde raha daaaaah mwanamke siyo mtuJackie mtunze mzee atakuwa anapitia kipindi kigumu sana.
Ulijuaje?Dingi mtu wa totoz long way back,
Huyu jamaa alikuwa jembe sema ulevi wa akinadada ni mbaya sana rip jembeMama wa kichaga ametangulia...alifight sana Ku keep ile family together lakini wapi...
hivi EA Tv si ilikuwa chini ya mama baada ya mtiwe kufariki?
Naomba kuuliza hivi jackline atathubutu kufika msibani kweli? aliyekufa ni kama mama yake na aliyemuoa ni sawa na babake daaaaah yaani aibu tupuHabari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more. Mama Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside Afrika Kusini akipatiwa matibabu.