TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Wewe baki ukidanganywa freemason, freemason wakati wenzako wanafanya kazi. Karne hii mtu unadanganywa vitu vya kusadikika kama hivi.
Mwambie Freemanson wanayodispensary ya kutibu watu hapo maeneo ya Mikocheni. Mbona hamuwafuati mkajiunge na chama chao?
Vijana wa leo wakiona mtu anapesa tu washamsakizia ujinga
 
Kumbe huyu mama alikuwa na Roho ya kuua
 
Mwambie Freemanson wanayodispensary ya kutibu watu hapo maeneo ya Mikocheni. Mbona hamuwafuati mkajiunge na chama chao?
Vijana wa leo wakiona mtu anapesa tu washamsakizia ujinga
Wanakufuata wewe sio wewe unawafuata walahi
 
Chanzo cha kutengana kwao: Ni baada ya jaribio la mama huyu kutaka kumlisha sum* mzee Meng* kufeli. Aliyemtonya mzee alikua housegir*.
Huo mchongo bi mkubwa alipanga na hausigirl au?
 
Chanzo cha kutengana kwao: Ni baada ya jaribio la mama huyu kutaka kumlisha sum* mzee Meng* kufeli. Aliyemtonya mzee alikua housegir*.
Maisha ya huyo dada yapo vipi kwasasa,maana alichofanya alistahili kumfanya mwanae.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…