TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

nafikiri atakuwa aliongea kitu kuhusu ngoyai lowasa
waliomsema vibaya lowasa haifiki 2020 watakufa wote na bado
 
Mazoezi ni muhimu jamani hivi ile kampeni ya Samia iliishia wapi?.
 
Possible candidates from CCM................ Songea mjini
1. Masha
2. Katambi
3.Kafulia
4.
 
lakini una habari kama alikuwa ni bonge la mtu...jitu la miraba minne? kama pepekalle
 
R.I.P, haya majina ya Gama kwenye siasa taratibu yanapotea
 
Sijawahi sikia figisu figisu za mbunge huyu japo ni ccm. RIP pande la mtu
 
ndio huyu alitupora ushindi wana UKAWA 2015 sitokaa nisahau na kuishia kumrubuni mgombea wetu dah kweli vyeo vinapita ila umauti ni milele anyway huenda alitubu RIP
 
Nyama ya udogo! Uzuri wote unaoza!
Dah! Haya maisha ni mtihani aiseee!

RIP GAMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…