Sahivi Tena nasikiaa rest in peace nyingine huko tibisii, eti Ni yule dada yetu aliyekuwa hoi Jana usiku
Ipo YouTube mkuu ni uzinduzi wa kipindi kipya cha aridhio washereheshaji walikosa toothpick za kulishana keki wakaanza lishana kwa mikono....afu walirundikana sana kwenye kile chumba afu na mc pilipili alikuwemo kwaio tujiandae....Party gani hiyo
Endelea kusibiri sisiemu ikulindie familia yako. Chadema mpaka sasa kuna wanalofanya lililo ndani ya uwezo wao?Hatari sana hii. CCM hawajali kabisa maisha ya Watanzania
Unamaanisha sisi tuko safi kuliko Ug?Uganda mpaka leo wagonjwa 53
Yupo jamaa wa IT
Kumbe wabongo hawajajua corona inauaje ? Haiwezekani Marin alikuwa kwenye party anapumua poa kirusi kikamchukua kesho yake kimya kimya lazima angekuwa Nan signs . Corona haiui hivyoToo sad ujinga ni mzigo. Unajua nini Kirus haonekani kwa macho hivyo walipuuzia, wanapuuzia. Ngoja wiki mbili zijazo tutatafutana.
Duuh this thing is real shit!!?
Itakuwa alikuwa na signs za mwanzo. Kushindwa kuhema ni sign ya mwisho. Halafu haikuwa kesho yake ujue. Zilikuwa zimepita siku mbili au tatu.Kumbe wabongo hawajajua corona inauaje ? Haiwezekani Marin alikuwa kwenye party anapumua poa kirusi kikamchukua kesho yake kimya kimya lazima angekuwa Nan signs . Corona haiui hivyo
Tangia aandike kipindi kile Magu kaaga Dunia, sijui ana hali mbaya, nitamuona mtu fala sana kama akileta habari ambayo chanzo chake ni kigogoJamaa hana lolote. Anaandika matukio yaliyokwisha julikana na kuwateka watu kumuamini. Kama hili mbona lilishajulikana muda tu.
Unauliza ndevu kwa Osama ?Kwahiyo ni Corona?
Requiescat in pace, Ndugu Lutengano. Na salamu nyingi za rambirambi kwa nduguze, marafiki na watu waliokuwa wakifanya kazi naye. Mola awafariji katika msiba huu.View attachment 1415685
Lutengano amefariki jioni ya leo hospitali ya Mloganzila jijini Dar.
Alikuwa mtu wa watu, rafiki wa watu na mtu muungwana sana.
Na huu utamaduni wetu wa kuchangia ofisi, mmoja tu akibeba korona anaenda kuisambaza kwa wengine huko maofisini. Bila Mungu kuingilia kati hali inaweza ikaja kuwa ngumu huko mbeleni..Asee,sasa hapo inabidi staff wa TBC wote waende karantini
Uzuri kifo hakifichiki na hapo bado , na hivi maviongozi yetu yanaumwa Ma-BP, kisukari, kansa , lazima yafe... DadeqTatizo hakuna taarifa sahihi, wizara ya afya inajitahidi sana kuficha sijui ni kwa faida ya nani[emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha na wao hawako salama kwa sababu kati ya hao kuna walioambukizwa pale pale, hawakusafiriUnamaanisha sisi tuko safi kuliko Ug?
Kwa hiyo watumishi wa tbc wakifa kwa corona ni "upuuzi mtupu"Upuuzi mtupu.
Ccm anahusika nn na corona ais3 mnacomedy HUMU kha
Ndugu wamemzika ama NDIO anazikwa na ...Kila nafsi itaonja Umauti,Apumzike kwa Amani Lutengano Haonga.
Yaani sio inawezekana. Bali ni Covid 19.Kwa hiyo haya yuke aliefia lugalo nae inawezekana coona
Haya daktari tumekusikia.Yaani sio inawezekana. Bali ni Covid 19.