TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

HUU UGONJWA SIKIENI TU
VIKIFIKA KWENYE KOO VINAKUWA KAMA VINACHOMA NA KUTEKENYA VINATAFUTA MAPAFUU HUKO VIKIFANAKIWA KUFIKA N VINA CHOMA YALE MAPAFU AKA KUTOBOA TOBOA NDIO WALIPOTARGET NDIOMAANA UNA KAJI ARV KAKO UKAKUTANA NACHO UKAI UNA KATB KAKOO UKAKUTANA NAYO SAFARI SIJAJUA WALE WAZEE WA MONDE KAMA KINAHIMILI MAMBOYETU ILA WABAOKUFA WANAUMWA NA MAUMIVU MAKALI SANA UWEZI ANGALIA MARAMBILI NAKWAMBIA
 
leo serikali ya CCM imekuwa vilaza watanzania hamma shukurani

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole,ila penye ukweli lazima tuseme. Kwa hili la Covid 19 hawapo pro active kabisa. Pia hawapo transparent .Pia wanabania test naona Rais wao kawaambia wabane matumizi. I can assure you kwa hali ilivyo kuna watu wanakufa kwa Coronavirus bila hata kutambulika.
 
Endelea kusibiri sisiemu ikulindie familia yako. Chadema mpaka sasa kuna wanalofanya lililo ndani ya uwezo wao?
We mbwa unalaana ya ccm.....chadema imefanya nn. Jinsi viongozi wenu walivowafundisha ubaguzi hii dhambi itaendelea kuwatafuta hukohuko ccm mtachinjana sn kwa taarifa yenu.....m
Leo umesema chadema kesho utasema wakatoliki wamefanya nini kesho kutwa utajiuliza wachaga etc hizi ndio akili mbovu mlizofundishwa ndani ya miaka mitano tu wapuuzi nyie.....
 
duuuuuuuh...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia Sasa kuendelea hali itakuwa mbaya sana, huu ugonjwa hauchagui mweusi au mzungu USA hadi asubuhi vifo ni zaidi ya 18000, Tujiandae kwa msiba mzito na maombolezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…