Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Kidoti sio wanja, acha ushamba wako. Ni alama iliyoko mwilini isiyotoka. Sasa mtu anajufumbua macho bado unabaki na ukaidi wako. Kwahiyo kidoti cha Mwegelo ni wanja au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmh Mkuu, uliiiona au unasema tu, maaana wengne waweza kusema kumbe hawajaiona maneno sita tu kwa kuongea Sauti ile ya chini vilelazima awe na wasi wasi maana taarifa mtaani sio nzuri
Duh, sayansi ya wapi hii?Hivi kwa yeye kuwa na pumu ndiyo chanzo cha kushindwa kupata mtoto?
Ungekuwa mwanaume tungeenda sawa!
Labda kwa upande wa wanaume. Ila nawafahamu wanawake kadhaa wenye pumu na wamepata watoto.Ungekuwa mwanaume tungeenda sawa!
Ndiyo maana nikajiepusha kujibizana na wewe. Shukran umenielewa. Mwanaume hata sukari ya mwili ikiwa out of control basi ni shida! Pumu ndiyo kabisaaa! Unamkumbuka Isack Gamba?Labda kwa upande wa wanaume. Ila nawafahamu wanawake kadhaa wenye pumu na wamepata watoto.
Nikiwemo☺Labda kwa upande wa wanaume. Ila nawafahamu wanawake kadhaa wenye pumu na wamepata watoto.
Kwanini umeweka fikra za kujibizana? Ungeweza tu kunielewesha ningeelewa. Kuhusu kisukari naelewa. Isack gamba namkumbukaNdiyo maana nikajiepusha kujibizana na wewe. Shukran umenielewa. Mwanaume hata sukari ya mwili ikiwa out of control basi ni shida! Pumu ndiyo kabisaaa! Unamkumbuka Isack Gamba?
Nimeangalia avatar nikaona ni mtu wa purukushani kidogo.. Isack alikuwa na pumu ya kufa mtu na kwa kuzingatia kanuni hakuthubutu kuoa.Kwanini umeweka fikra za kujibizana? Ungeweza tu kunielewesha ningeelewa. Kuhusu kisukari naelewa. Isack gamba namkumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Avatar yangu imekaa kimahaba zaidi hapa ni full malavidavi, sina purukushaniNimeangalia avatar nikaona ni mtu wa purukushani kidogo.. Isack alikuwa na pumu ya kufa mtu na kwa kuzingatia kanuni hakuthubutu kuoa.
Purukushani za kitandani namaanisha. Inaonekana mashallahAvatar yangu imekaa kimahaba zaidi hapa ni full malavidavi, sina purukushani
Kawaida tuPurukushani za kitandani namaanisha. Inaonekana mashallah
Napenda wanawake wanaojifanya vijike kama wewe ili kitandani tusilaumiane!Kawaida tu