TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Nimeangalia avatar nikaona ni mtu wa purukushani kidogo.. Isack alikuwa na pumu ya kufa mtu na kwa kuzingatia kanuni hakuthubutu kuoa.

Mkuu men mwenye pumu haruhusiwi kuzaa???? Hii ndo naiskia leo .Baba yabgu mzaz ana pumu sio yakawaida na mm ni wa4 kuzaliwaπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Ndiyo maana nikajiepusha kujibizana na wewe. Shukran umenielewa. Mwanaume hata sukari ya mwili ikiwa out of control basi ni shida! Pumu ndiyo kabisaaa! Unamkumbuka Isack Gamba?

Sugar sawa ila pumu?duh haya
 
Vipi waliompiga Lisu risasi sababu yakutofautiana mawazo au hii hukuiona
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…