Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,361
- 2,378
Browning CZ-7.65mmNunua browning 7mm ni ndogo kama pen hivyo ukiiweka mfukoni wala haitakusumbua kwa vile ina uzito kiduchu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Browning CZ-7.65mmNunua browning 7mm ni ndogo kama pen hivyo ukiiweka mfukoni wala haitakusumbua kwa vile ina uzito kiduchu
Browning CZ-7.65mm
Wakuu nimewasoma hii kitu bongo ni muhimu kuliko manati. Mtaani wananigwaya maana wanajua kitu ya moto iko ndani.Siku moja tukiwa baa tukaamriwa wote kulala chini kumbe jamaa walikuwa na SAR risasi mbili ndani mmoja walipiga walipotinga ndani ya pili pale mhudumu alipokaidi amri.Walipotakakupiga ya tatu kukock hamna kitu.Ndipo kwa ujasiri nikawasha hewani mbili kwa mkupuo.walipiga timu hakuna mfano ka SAR kao wakakarushia counter.Niliibuka shujaa.Leo nikitinga pale npiga tungi bureeeee!!!
Hata ukiipata wauzaji wataituma kwenye agent aliyeteuliwa kuhifadhi silaha. Huwezi kuja nayo wewe kama wewe na hata ukikubaliwa lazima u-hand it over to pilot then ataikabidhi kwa bohari la silaha. Kwa hapa kwetu ni Tanganyika arms. Wataihifadhi mpaka hapo utakapokamilisha taratibu za kuimiliki.
Kuna vikao vya ulinzi na usalama vya kijiji hadi mkoa vitakavyokaa na kukupitisha ili umiliki silaha. Then Mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoa atapeleka jina lako Wizarani then kama una bahati utapewa KIBALI thereafter unaenda Tanganyika Arms kuchukua msala wako.
Kwa wanaomiliki silaha ni kitu hatari sana! Huna uhuru hata kidogo. Ukiacha nyumbani lazima uwe na uhakika wa safety locker. Ukiwa nayo kwenye gari omba vibaka wasiipitie! Ukiiweka kiunoni omba watu wasiione na usiingie nayo bar! Usiwe na hasira za haraka! Yaani jamaa anatoka huko atokako kapanda ile mbaya afu anamshika your my wife makalio! Lazima uchomeo ka mguu ka kuku (Yule askari pale Moshi alikasirishwa akenda kuchukua SMG kwenye corola). Achilia mbali wale wenye mabinti ukute kapindwa kwenye ua wa pale home! Saa nyingine wale wenzetu wanakufata wanakwambia hawajajia kingine wanataka JEMBE na ukibisha wanakutoa roho. Si kitu muhimu sana kuwa nacho kwa kweli.
Jamani hiyo Browning CZ 7.65 ni cha mtoto sana mbele ya Glock 19. Isitoshe basi CZ 7.65 inalingana size na Glock 19.
Nina uzoefu mkubwa na hiyo CZ (CZ83) na nimeshaamua kuacha nayo.
KIMEO NARUDIA TENA, GO FOR GLOCK 19 (3rd Generation au 4th Generation). 3rd Generation in a muda mrefu sokoni (worldwide) kuliko 4th generation ambayo iko sokoni kama miaka miwili hivi sasa.
Browning CZ 7.65 ukichukua, utakuja tamani utafute Glock baadaye.
Go for Gock 19 mkuu ni compact size. Siyo kubwa sana na wara sioi ndogo sana.
Zungukeni kooote but a Berreta 9mm is the only gun I can trust!
Go for Luger called whilhelmina and a bomb called piereWajameni mimi naitamani ile ya kwenye "Tha man with the golden gun" au zile Smith & Wesson Colt A.38 na A.45 za Wille Gamba!.
Only one person I know knows weapons in this depth...meet me at john's cornerJamani hiyo Browning CZ 7.65 ni cha mtoto sana mbele ya Glock 19. Isitoshe basi CZ 7.65 inalingana size na Glock 19.
Nina uzoefu mkubwa na hiyo CZ (CZ83) na nimeshaamua kuacha nayo.
KIMEO NARUDIA TENA, GO FOR GLOCK 19 (3rd Generation au 4th Generation). 3rd Generation in a muda mrefu sokoni (worldwide) kuliko 4th generation ambayo iko sokoni kama miaka miwili hivi sasa.
Browning CZ 7.65 ukichukua, utakuja tamani utafute Glock baadaye.
Zungukeni kooote but a Berreta 9mm is the only gun I can trust!
Mkuu tatizo kubwa la Glock hasa kwa watumiaje binafsi ni kwamba haina security lock hivyo inabidi uwe makini sana,vinginevyo inaweza kukutoa roho mwenyeweKatika silaha zote, aina ya bastola, Glock 19 ni bastola nzuri zaidi, hasa hii ya 4th generation. Glock 17 nayo ilikuwa ni nzuri lakini inapitwa ubora na glock 19. Kwa utendaji kazi, Glock 19 ni bunduki. Na ndiyo maana katika nchi za wenzetu hii bastola hairuhusiwi kumilikiwa na mtu binafsi.
Kuthibitisha kwamba Glock 19 ni silaha nzuri, ndo maana hata askari wa UN wanatumia Glock 19. Bereta na Browning zina weakness moja, ukipiga sana, huwa zina pata moto na zinajam upesi.
Kwa upande wa bei ni sahihi, bereta na browning zinauzwa kirahisi na bei ya Glock 19 imechuchumaa, but it's value for money.
Feature nyingine nzuri kwa Glock 19 ni kwamba, Glock 19 ina expandable magazine yenye uwezo wa kubeba risasi 64 na hivyo kukufanya wewe mtumiaji uwe huru zaidi kubeba risasi unazotaka. Lakini pia risasi za 9mm ambazo Glock 19 inatumia zipo readily available hapa Tanzania. Glock 19 ni bunduki. Ni nzuri.