Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Unamaanisha alidekezwa ?naskia alikua anamwagia watu tindikaliMtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha alidekezwa ?naskia alikua anamwagia watu tindikaliMtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Ni la kawaida. I have seen it. Hua wanaenda na vitabu fulani ila hawatoi cashHivi
Hivi kwa kawaida magari ya serikali huwa yanajaza mafuta kwenye vituo vya watu binafsi?! Mbona hili sio jambo la kawaida kabisa?!
Mkuu. Mnabishana kitu simple sana jApo sijui sheria ila iko hiviNimesema CPA inampa raia yoyote uwezo wa kumkamata mhalifu yoyote anayefanya kosa mbele yake na kumfikisha kwa Polisi ambaye ata mkamata upya ndivyo sheria inavyosema sasa huyo Zitto anasema umbumbumbu tu. Sheria inayohusiana na ukamataji ni CPA kwa makosa ya Jinai na wala si sheria ya Usalama wa Taifa.
FactItakuwa walitaka kumfanya kama waalivomfanya mmiliki wa Super Sammy ila akawawahi sasa wana haha.Ina maana jamaa ni kichaa tu afyatue risasi hovyo.Unaenda kutia mafuta halafu unashuka kisha unafyatuliwa risasi
Gari ukijaza mafuta unakabidhi funguo?[emoji15] [emoji56]Eti walienda kujaza mafuta? sawa kama walienda kujaza mafuta iweje wengine washuke tena na usiku? gari ukijaza mafuta Dereva tuu ukiamua haushuki unakabidhi funguo tuu anafungua na kujaza mafuta hao sio watu wazuri kabisa Mungu ni mwema amewaonesha wazi wazi...
Daah yani hawa Usalama wa Taifa ndiyo wamefika huku kweli ??? Hahahaha we are so screwd, waangalie hata James Bond films basi waone watu wanavyotekana bwana...Mende akiangusha kabati fundi hana budi kurudi veta
Laiti kama angekuwa na bunduki kubwa akawamaliza wote watano, sijui habari hii ingesomekajeBora aliwawahi mapema maana angepotea huyo
karma is a bitchLeo yamemkuta
upend wa ccm utasaidie nn hebu rudi kulala mkuuHALI N TETESANA KAMA NDUGUZETU WA CCM AWATATOA USHIRIKIANO KULETA UMOJA YATAKUJA MENGI SANA UKO MBELENI ZAIDI YA HAYA.......UMOJA WA CCM TARIME AUPO TENA ...HALISIONZURI KABISA NAAMINI KAKAYANGU POLEPOLE AMETOKAMAJUZI NA ANAELEWA NAACHANDIKA HIKI...WARUDISHE UPENDO NA UMOJA WA CCM KAMA ZAMANI HIVISASA ULE UPENDO AUPO UMEGAWANYIKA ROHOZA VISASI ZIMEWAINGIA WATU BILAKUJIJUA
Serikali haina kituo cha mfuta ndugu, kwa hili, jaribu kuongeza uwelewa kdg.Hivi
Hivi kwa kawaida magari ya serikali huwa yanajaza mafuta kwenye vituo vya watu binafsi?! Mbona hili sio jambo la kawaida kabisa?!
wangeadika apongezwe pz kuwadhibit magaidi hahaha unajua nn mkuu "'kuna kupuliza kuwasha moto na kupuliza kuzima moto .... sijui hapa ******** na genge lake walitaka wafanyejeLaiti kama angekuwa na bunduki kubwa akawamaliza wote watano, sijui habari hii ingesomekaje
Heheheee. Kuna magari ambayo kile kifuniko cha tanki la mafuta kinafunguliwa kwa funguo kutokea nje. Itakuwa jamaa anamaanisha hivyo.Gari ukijaza mafuta unakabidhi funguo?[emoji15] [emoji56]