Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

Hivi

Hivi kwa kawaida magari ya serikali huwa yanajaza mafuta kwenye vituo vya watu binafsi?! Mbona hili sio jambo la kawaida kabisa?!
Ni la kawaida. I have seen it. Hua wanaenda na vitabu fulani ila hawatoi cash
 
Papaa Mobimba,

HALI N TETESANA KAMA NDUGUZETU WA CCM AWATATOA USHIRIKIANO KULETA UMOJA YATAKUJA MENGI SANA UKO MBELENI ZAIDI YA HAYA.......UMOJA WA CCM TARIME AUPO TENA ...HALISIONZURI KABISA NAAMINI KAKAYANGU POLEPOLE AMETOKAMAJUZI NA ANAELEWA NAACHANDIKA HIKI...WARUDISHE UPENDO NA UMOJA WA CCM KAMA ZAMANI HIVISASA ULE UPENDO AUPO UMEGAWANYIKA ROHOZA VISASI ZIMEWAINGIA WATU BILAKUJIJUA
 
Nimesema CPA inampa raia yoyote uwezo wa kumkamata mhalifu yoyote anayefanya kosa mbele yake na kumfikisha kwa Polisi ambaye ata mkamata upya ndivyo sheria inavyosema sasa huyo Zitto anasema umbumbumbu tu. Sheria inayohusiana na ukamataji ni CPA kwa makosa ya Jinai na wala si sheria ya Usalama wa Taifa.
Mkuu. Mnabishana kitu simple sana jApo sijui sheria ila iko hivi
Uko sahihi sheria inamruhusu mtu yoyote kumkamata muhalifu .
Sasa zitto anaongelea sheria ya usalama yaani watu wa usalama wamekatazwa kukamata mtu.ila ww unaweza kumkamata mhalifu as long as haupo kwenye system
 
Eti walienda kujaza mafuta? sawa kama walienda kujaza mafuta iweje wengine washuke tena na usiku? gari ukijaza mafuta Dereva tuu ukiamua haushuki unakabidhi funguo tuu anafungua na kujaza mafuta hao sio watu wazuri kabisa Mungu ni mwema amewaonesha wazi wazi...
 
WASIOJULIKANA NADHANI SASA WAMEJULIKANA JAPO LAWAMA KABEBESHWA WAZIRI.
RC NAYE KAFELI SANA KWA MAELEZO YA KIZEMBE NAMNA ILE NI MJINGA NA MPUMBAVU PEKEE NDIO ANAAMINIKAMA KULIKUWA NA NIA NJEMA YA HAWA KWENDA KITUONI KWA PZ
 
Itakuwa walitaka kumfanya kama waalivomfanya mmiliki wa Super Sammy ila akawawahi sasa wana haha.Ina maana jamaa ni kichaa tu afyatue risasi hovyo.Unaenda kutia mafuta halafu unashuka kisha unafyatuliwa risasi
Fact
 
Eti walienda kujaza mafuta? sawa kama walienda kujaza mafuta iweje wengine washuke tena na usiku? gari ukijaza mafuta Dereva tuu ukiamua haushuki unakabidhi funguo tuu anafungua na kujaza mafuta hao sio watu wazuri kabisa Mungu ni mwema amewaonesha wazi wazi...
Gari ukijaza mafuta unakabidhi funguo?[emoji15] [emoji56]
 
HALI N TETESANA KAMA NDUGUZETU WA CCM AWATATOA USHIRIKIANO KULETA UMOJA YATAKUJA MENGI SANA UKO MBELENI ZAIDI YA HAYA.......UMOJA WA CCM TARIME AUPO TENA ...HALISIONZURI KABISA NAAMINI KAKAYANGU POLEPOLE AMETOKAMAJUZI NA ANAELEWA NAACHANDIKA HIKI...WARUDISHE UPENDO NA UMOJA WA CCM KAMA ZAMANI HIVISASA ULE UPENDO AUPO UMEGAWANYIKA ROHOZA VISASI ZIMEWAINGIA WATU BILAKUJIJUA
upend wa ccm utasaidie nn hebu rudi kulala mkuu
 
Hivi

Hivi kwa kawaida magari ya serikali huwa yanajaza mafuta kwenye vituo vya watu binafsi?! Mbona hili sio jambo la kawaida kabisa?!
Serikali haina kituo cha mfuta ndugu, kwa hili, jaribu kuongeza uwelewa kdg.
 
Yaani maafisa usalama watano,wanashindwa kumteka mtu ,RAIA mmoja?
Huwa naambiwa wengi wao watokea jeshini,sasa wajeda gani dhaifu kiasi hiki,?haya ndio madhara ya kupeana kazi kimjomba mjomba,
Sasa kama MTU mmoja kawashinda,watawezaje kukamata magenge ya kimafia?
Hiyo ilikuwa kazi ya MTU mmoja tu,
 
Gari ukijaza mafuta unakabidhi funguo?[emoji15] [emoji56]
Heheheee. Kuna magari ambayo kile kifuniko cha tanki la mafuta kinafunguliwa kwa funguo kutokea nje. Itakuwa jamaa anamaanisha hivyo.
 
Kwa taarifa hii,nadhani muda wa wasiojulikana
kujulikana umefika.Ni mawazo yangu tu.
 
Back
Top Bottom