Tanesco..Tanesco.. Tanesco eeeeh!! Hela zetu tumezichuma kea uchungu na jasho!!Mimi naogopa hata kujaribu tena....sijui Kama hela zetu zitarudi jamani daah!
Wataalamu wapewe muda,Hili sakata linaweza kuwa limewekwa kama tego kwa Kalemani.
Nahisi kuna watu wanataka kufanya yao na yeye ndio kikwazo pale
Kwa mtumishi asiye mzalendo au aliyekwamia mahalo fulani lazima nidhamu ziro,ila ni wachache na ni suala la muda tu,watajitambua na kazi itaendelea.Mkuu ofisini kwao wapi? Labda makao makuu Dar es salaam.
Makao makuu ya wilaya na mkoani kwetu huku ukiwaulizia huduma wanakuangalia kama picha, hawana majibu zaidi ya "mfumo upo down" huku wanabofya simu zao na toothpick mdomoni!
NIDHAMU KWA WATUMISHI WA UMMA IMEENDA NA MWENYEWE!
Ndio maana kelele za waliokwamia mahalo fulani zinaendelea wengine hawana nia njema kisa ,malsahi yao yameguswa.Hapa kuna kitu mh waziri anakijua haiwezekan awasimamishe siku 10 mama ingilia kati
aaagh wapi saa 8 i,epita na LUKU still iko down....hii ngoma bado iko mbichi.....kumbukeni mwendazake hayupo yale mambo yetu kama kawaWafanyakazi watatu wamesimamishwa kazi kwa kushindwa kutatua tatizo la LUKU na waziri mwenye dhamana. Waziri amemuagiza Mkurugenzi Mkuu kuutangazia umma kurejea kwa huduma ya LUKU saa 8 mchana leo
Sisi yetu ni kusema mtanikumbukaHii nchi ngumu Sana....!! Banndarini malori yamekwama ,umeme shida , airport unapimwa Kwa cash mtu anaweka pesa mfukoni ..... Anyway Kila mmoja apambane na Hali yake
Wewe umetumia mbinu gani,hujakumbwa na hii chamgamoto, ama suit mtumiaji wa huduma hii.
JiweMTANIKIMBUKA.
Hujui kitu kinacho itwa data center. usifikiri una click tu next
Tuwape muda. Ilani Lazima itekelezweNa wamekaa kimya km hamna lolote na hakuna yyt wa kuwafanya chochote, kazi iendelee.
Hahahahah.Tunawasihi muwe wavumilivu wakati mabosi wa tehama wakibadilishana mafaili ya tatizo lenyewe, shida ya matatizo ya tehama yanaweza kutatuliwa ndani ya dakika 10 au siku 10 au miezi 10, mkituharakisha ndio tunaweza kuharibu zaidi [emoji1787][emoji205][emoji1732]