Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

Mimi naogopa hata kujaribu tena....sijui Kama hela zetu zitarudi jamani daah!
Tanesco..Tanesco.. Tanesco eeeeh!! Hela zetu tumezichuma kea uchungu na jasho!!
Msitudhulumu... tukinyanyua mikono JUU mtasibika... na binafsi sisamehe!!!
 
Naombeni sana, hao ndugu watatu wa TANESCO wanafamilia zinawategemea Hata kama wamekosea tuangalie pia upande wa pili
 
Mkuu ofisini kwao wapi? Labda makao makuu Dar es salaam.

Makao makuu ya wilaya na mkoani kwetu huku ukiwaulizia huduma wanakuangalia kama picha, hawana majibu zaidi ya "mfumo upo down" huku wanabofya simu zao na toothpick mdomoni!

NIDHAMU KWA WATUMISHI WA UMMA IMEENDA NA MWENYEWE!
Kwa mtumishi asiye mzalendo au aliyekwamia mahalo fulani lazima nidhamu ziro,ila ni wachache na ni suala la muda tu,watajitambua na kazi itaendelea.
 
Wafanyakazi watatu wamesimamishwa kazi kwa kushindwa kutatua tatizo la LUKU na waziri mwenye dhamana. Waziri amemuagiza Mkurugenzi Mkuu kuutangazia umma kurejea kwa huduma ya LUKU saa 8 mchana leo
aaagh wapi saa 8 i,epita na LUKU still iko down....hii ngoma bado iko mbichi.....kumbukeni mwendazake hayupo yale mambo yetu kama kawa
 
Hao jamaa waliosimamishwa ndiyo wanajua ABC za mfumo wa LUKU .....duh siasa bhana ngoja tuone
 
ki ufupi utawala wa huyu maana ni wa hovyo sana !

toka nimeijua luku mimi sijawahi kupata sms kwamba huduma haipatikani kabisa ndio mara kwanza kwa Samia japo tulikua tunasumbuka na kupata token ila sio huduma kutopatikana kabisa.

yaani mi naona mama kama ana miaka 9 madarakani maana utawala wake umenichosha mapema.

ame_base kupangua aliyoafanya Magufuli kuliko kujali maslahi ya Nchi
 
Tunawasihi muwe wavumilivu wakati mabosi wa tehama wakibadilishana mafaili ya tatizo lenyewe, shida ya matatizo ya tehama yanaweza kutatuliwa ndani ya dakika 10 au siku 10 au miezi 10, mkituharakisha ndio tunaweza kuharibu zaidi [emoji1787][emoji205][emoji1732]
Hahahahah.
 
Back
Top Bottom