Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

kyaibumba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
744
Reaction score
1,080
Nina Mwaka sijaingia Jf Kwakuwa nilikuwa busy nimeingia nakupa SM zaid ya 200 hivi kwanini msifanye kazi ? Unamuombaje hela mtu mtandaoni ambaye humjui
IMG_6092.jpeg
 
Ukiwa nacho mpe maisha kuna kukwama kama mfukoni una 100K kwenye simu una 50K mtu anakuomba muwezeshe auvuke usiku mmoja tu kwanini usimrushie hata 5K?

Wakati fulani humu 2016 kuna jamaa alinifata inbox "bwana nimekwama niwezeshe kwa chochote ukiwa nacho" nilimwambia anipe # nikamrushia kiasi kidogo tu surprised baada ya siku moja muamala nisiokuwa na ahadi nao ukaingia kwenye simu na text jamaa akijitambulisha ni yule jamaa wa humu so sometimes ni mingo tu zinakuwa zimekwama kesho atakaa sawa unajua maisha hayana mjanja.
 
Ukiwa nacho mpe maisha kuna kukwama kama mfukoni una 100K kwenye simu una 50K mtu anakuomba muwezeshe auvuke usiku mmoja tu kwanini usimrushie hata 5K?

Wakati fulani humu 2016 kuna jamaa alinifata inbox "bwana nimekwama niweze kwa chochote ukiwa nacho" nilimwambia anipe # nikamrushia kiasi kidogo tu surprised baada ya siku moja muamala nisiokuwa na ahadi nao ukaingia kwenye simu na text jamaa akijitambulisha ni yule jamaa wa humu,maisha hayana mjanja.
Tunakuja pm!
 
Jamaa aje na michongo ya kazi tuwape aje na michongo ya Ada nampa au kama anaumwa nampa Ila ya kwanza nataka ya bia Hapana
 
Lakini tukumbuke ukiwa na shida watu wale mnaojuana na wanaokuzunguka ndio wanaweza kukuamini kuliko mtu ambaye hamjuani mtandaoni.

Binafsi huwa sijibu maana nikimwambia sina hela hataamini maana mpaka amekuomba ameshaona kama unazo kumbe wote njaa Kali tu tunabangaiza tu.
 
Nina Mwaka sijaingia Jf Kwakuwa nilikuwa busy nimeingia nakupa SM zaid ya 200 hivi kwanini msifanye kazi ? Unamuombaje hela mtu mtandaoni ambaye humjuiView attachment 3612567
Mkuu shikamoo karibu tena Jf kama kijana ambaye bado sijasimama vema. Mkuu mi nashauri kuliko kutuanika hapa jukwaani ungetoa ata wazo tunatokaje hapa. Ukiishia kusema tufanye kazi tu utakuwa bado hujatusaidia
 
Back
Top Bottom