Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

Ukiwa nacho mpe maisha kuna kukwama kama mfukoni una 100K kwenye simu una 50K mtu anakuomba muwezeshe auvuke usiku mmoja tu kwanini usimrushie hata 5K?

Wakati fulani humu 2016 kuna jamaa alinifata inbox "bwana nimekwama niweze kwa chochote ukiwa nacho" nilimwambia anipe # nikamrushia kiasi kidogo tu surprised baada ya siku moja muamala nisiokuwa na ahadi nao ukaingia kwenye simu na text jamaa akijitambulisha ni yule jamaa wa humu so sometimes ni mingo tu zinakuwa zimekwama kesho atakaa sawa unajua maisha hayana mjanja.
Wewe umejoin 2021 mkuu... hizi habari za 2016 ni kwa ID nyingine au? Au ulivyosema " Humu" ulimaanisha nini?
 
Mkuu shikamoo karibu tena Jf kama kijana ambaye bado sijasimama vema. Mkuu mi nashauri kuliko kutuanika hapa jukwaani ungetoa ata wazo tunatokaje hapa. Ukiishia kusema fanyeni kazi bila kutoa ufafanuzi utakuwa hujatusaidia
Okay kila kijana Aloomba Pesa DM ntampa ila mtawapa Jumanne vijana 20 tu kwanza ila hapo nafunga dirisha sitatoa Tena
 
Back
Top Bottom