Serikali inachangiwa kupitia VAT na tozo mpya, yaani serikali inapokea mchango mara mbili kwenye muamala mmoja.
Mkapa aliyetawala enzi za ujima ukiwa unamalizikia, alifuta kodi ya kichwa (sh 4000), leo hii mi-viongozi inayotawala zama za EFD machine (wanakusanya kodi maradufu kuliko zama za Mkapa), wanaleta kodi ya kichwa tena iliyo zaidi ya kodi ya enzi hizo.
Nadhani nchi hii tulilogwa na mtu mmoja, wangekuwa wawili wangeshauriana kupunguza ukali wa ulozi wao kwetu.