KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Final consumer ndo unabeba mzigoNaona makampuni yameamua kujitenga na gharama hizo yameitaija kabisa tozo ya Serikali badala ya kuijumulisha tu bila kuinyambulisha hadharani.!
Kampuni ni Collection Agent tu