Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Kwani hizi kodi zinaathiri NYONGEZA za mishahara na KUPANDA madaraja tulikokuwa tunalilia miaka nenda rudi? Sidhani kama kuna issue, tufurahie nyongeza, achaneni na hayo matozo, yaliyoshindikana kwa miaka 5 mama kayafanya ndani ya siku 90 tu, kwa UZALENDO kabisa, VAT iongezwe mpaka 30%, PAYE iwe flat 30% ili wale tuliobanwa kwa miaka 5 iliyopita turejeshe mzigo wetu kwa expense ya wananchi, tujenge barabara mpaka milangoni, MAMA ANAUPIGA MWINGI.....Kazi iendelee
 
Affordable Sana sijaona ukali mkubwa hapo yaani olmost negligible.

Ila watu walivyokuwa wanatutisha sasa utadhani maisha yanaenda kusimama
 
Sasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kea maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu.
Afu vihela vyenyewe vya Makato ni vidogo, yaani usichangie maendeleo Lisa ujinga haipo hiyo.

Mwigulu next year tafuta vyanzo vingine mfano leseni kwa mafundi mbalimbali,viwanja,mashamba na nyumba na matangazo kwenye mitandao ya kijamii nk
 
Back
Top Bottom