Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Biashara ya pesa Kwa simu inaenda kuporomoka Kwa kasi.
Yani gharama za kutuma na kutoa 50000 ni 7500.
Wakati atm ni 1200 kutuma ni bure na kuchukua ndo unakatwa iyo.

Jamaa wameshindwa hata kuwabana wabunge wao ndo vipato vyao viko juu bado wananyonga wa chini.

Kiukweli utakufa yaani makampuni ya simu yataanza kuisoma namba na voda wanavyotoaga kamisheni ndogo kwa mawakala.
Wanaua biashara wenyewe. Mbona Tina madini na mbuga za wanyama jaman.

Yaani hapa wenye makampuni ya mabasi wakiibukia hii biashara mtu anatumia ofisi ya Zakaria pale Tarime afu mtu anachukulia ofisi ya Zakaria ya hapa mza.

Yapige kimya kimya tu sema Tiss wasenge watawakamata
 
Nipo Arusha jamaa yangu Extrovert yupo Moshi ananidai laki tano. Nikimtumia nakatwa karibu 8000/- nae akienda kutoa anakatwa zaidi ya 10,000/-. Jumla ya Transaction costs ni zaidi ya 20,000/-....
Sure mkuu unamwambia vumilia kesho nakuja Moshi ninakuja nayo. Binafsi hata mie makato tu hata sh kumi inaniuma kinouma Mana ikitoka kwa laki sio laki Tena.
 
Tafsiri yake ni kwamba, hela zitakuwa nyingi sana mtaani so msiogope. there is a positive thing in every negativ thing
 
Ila tutazoea na kuona kawaida

Wakiona tumekubali wanakuja kwenye mabenki

Tukikubali wanatulazimisha tutumie cashless hapo ndo watatubana hadi mapumbu
 
Mtumishi anakatwa Kodi akinunua bidhaa Zina Kodi k.v sukari ,mafuta akiweka kwa gari yake Yana Kodi afu akituma hela kwa mwanae aliyeko chuoni anakupa Tena kodi.yaani Kodi kila sehemu.

Ila kiukweli lazima hii biashara Ife ya miamala itabakia ile dharura yaani dharura kweli. Kama demu wako unamwambia panda hiace uje uchukue hela.

Unayo 20k ya kumpatia afu ya kutuma na kutokea jumla Bei gani. Hawa jamaa wao wanapewa mafuta 500lita bure kwa mwezi so hawana maumivu kabisa.

Hii Sera inakufa.

Yaani Kama maza home anasubiria mtu wa nyumbani akienda ndo anaenda nayo ama unamtumia anachukua kwa atm over
 
Yani hii bajeti ipo toka enzi za magufuli?
Nyie nyumbu za mr dj vipi?
Si mlikuwa mnademka nae humu kwamba anaupiga mwingi? Na bado
Nilikuwa nawazoom tu wanavyopiga makofi na kushangilia eti nchi inafunguliwa, now wameanza tena nyimbo 😁!.
 
Tulikubaliana kila mwezi kuuza
Nyumbu 10,
Tembo 10,
Nyati. 10,
Kiboko. 10,
Twiga. 10,
Nk
Zinaweza kufidia huo ujinga wa kodi za uzalendo ndani ya kodi.

Hao wanyama wamekuwa wengi sana hadi wanauwa watu mitaani.
Hakuna mtu huwa anawalisha,nizawadi toka kwa Mungu.

Tuna rasilimali nyingi sana zaweza kuleta mapato ya kodi.
 
Sasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kea maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu.
CAG anatoa Audit report watu wamepiga pesa ndefu hawafikishwi popote mbele ya sheria. Wanadunda mtaani.

Halafu mnataka mkamue kodi za wauza maandazi ndio ziwaletee maendeleo? Huu ni ujinga wa kiwango cha lami.

Wanasiasa wengi ni wapumbavu sana.
 
Watu wasiende kula Bata ulaya na dubei ama paris na kufanyiwa masaje na watt wakali Kama Hawa.
Afu eti wakukumbuke wewe so unadhani hapo nyuma kulikuwa hakuna sehemu nyingine ya Kodi ya kuyafanya hayo mambo.
Yaani mtu anaiba ama anafuja pesa yetu Ila anadunda mtaani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…