PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vile vibali vya "sugar" ndio sheedah yote!
Pole sana Mpina, Mungu ni mwema siku zote.
 
Kwahiyo Kisesa Mama ana deni!? Nyie mnaosema hana deni tuambieni mlipo tupime kama ni kweli.
 
Mwanaume akiwa na Akili na Boldness hivi kuna namna tu anakuwa.

Calm
Composed
Confident
Anakuwa tu Mwanaume na wengine buku kiukweli!
 
Mpina akili hana yuko jimbo la mtu mwingine alitakiwa tuasalimie wananchi tu na kwenda kukaa chini
Hata kama unamchukia, kwanini basi wapiga kura wake walikuwa hapo kama Jimbo siyo lake?
 
Ni kweli Mpina hakuwa honest alitumia facts ku express chuki zake, but na kiongozi naye angeweza kubadili hiyo ikawa kura kwake....Mfano angesema nashukuru sana mbunge wangu kuzileta hizi kero mbele yangu Leo, ndugu wananchi wa Kanda ya ziwa kwakua tumeanza na daraja la Busisi ambalo limetumia karibu robo ya budget ya nchi, basi awamu inayofuata kama Mungu atapenda na ninyi mtaniunga mkono tutamalizia hayo madaraja matatu aliyayawakilisha kwangu Mh. Mbunge....hapo kura zote za Kanda umezizoa na umemtandika adui yako Kwa fimbo aliyotaka kukuchapia...

Kisha ndugu wananzengo, ni ukweli kwamba bei ya pamba hairidhishi lakini kwakua tumeshaanza mikakati ya kuboresha mazao na masoko yetu kama ambavyo mmeona budget ya kilimo ilikuwa kubwa mara tatu ya miaka mingine basi awamu ijayo kama Mungu atakubali na ninyi kunipigia kura basi nitahakikisha pamba lnakuwa zao la kwanza katika kutengeneza ubora wake na soko la uhakika ambalo kwanza bei haitayumba wala kupunguza Bali kuongezeka maradufu.(MH. WAZIRI WA KILIMO UNANISIKIA? tukibahatika kupita uchaguzi na wewe utakuwa Waziri kwakua umefanya vizuri awamu hii, hapo umeshamaliza ugomvi wao binafasi)...Hapo tena kura zote za Kanda ya ziwa umezichukua, unamsifia kidogo na JPM Kisha unamlaza chini adui yako....Washauri sijui wanamkomoa mama? Na hasa huyo Waziri asiye na Soni kumsema mwenzake mbele ya boss kama mtoto aliyedeka
 
Hizo ndio silika za wanawake ndugu;kujibu kwa mihemuko na hisia.
 
Tatizo elimu mkuu.
Uongozi ni kitu cha asili mtu anazaliwa nacho.

Huyu anaforce alizaliwa kuhudumia kwenye ndege au mahotelini.

Uwezo wake mdogo sana .
 
Apanic nini? Who are you?
Mimi ni MTANGANYIKA.
Kutokea Kijiji Cha Majalila,kata ya Tongwe ,wilaya ya Tanganyika ndani ya mkoa wa Katavi.
Ni jirani kabisa na alikookotwa Sativa,ulipo mteka na kumtupa.palepale ndonapatikana .
Are you satisfied?????
 
Tatizo elimu mkuu.
Uongozi ni kitu cha asili mtu anazaliwa nacho.

Huyu anaforce alizaliwa kuhudumia kwenye ndege au mahotelini.

Uwezo wake mdogo sana .
Urais ni taasisi siyo mtu! Tatizo kubwa ni Chawa wanadhani kwakubaghaza wenzao ndiyo wanafanikiwa kuwa karibu na sufuria la nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…