PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani ni wapi kadhalilishwa huyo Rais?
 
Hata hizo ishu za siku za nyuma, wapi kadhalilishwaa?
Sio tuu kuleta dharau Bali ni pamoja na kutokuwa mtii.

Kwenye mikutano yote ya CCM Huwa unaona Mpina ana behave vipi mbele ya Rais na Mwenyekiti wake?
 
Sio tuu kuleta dharau Bali ni pamoja na kutokuwa mtii.

Kwenye mikutano yote ya CCM Huwa unaona Mpina ana behave vipi mbele ya Rais na Mwenyekiti wake?
Unataka a behave vipi ili iwe sawa? Tatizo hunioneshi udhalilishaji wa rais kutoka kwa mpina, km unavyo sema, ila una ruka ruka tyuuh.

Em kuwa specific, ili twende sawaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanakisesa walivyo ******* hawajui kama jamaa alikua anawapambania wanachojua ni kusikiliza hayo manyimbo ya *******..
 
Leo ndiyo Samia kadhihirisha kuwa wale tunaosema kuwa yeye ni rais wa mipasho ya taarab tunasema ukweli.
Toka alivyokufa Nasma Hamis Kidogo Taarab ilikufa rasmi kwa Sababu Hadija koppa alikosa upinzani, Sasa Hadija Koppa amepata mpinzani wa kweli mama Samia inatakiwa Mipasho irudi kwenye peak..
 
Siamini kaa RAISI hakumuelewa Mpina,kuongea Mambo ya kawaida kabisa.kuna tatizo tusiwalaumu wake yaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ—œοΈπŸ› οΈβ›οΈπŸ”¨πŸ”§πŸ”©βš’οΈ
 
Kwa maovu yanavyotukuzwa ndani ya chama dola,bora waache hata kwenda ibadani maana wanajaza nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…