Au tubuni mfumo bora zaidi wenye efficiency kubwa zaidi, pamoja na kutatua changamoto za uchafuzi wa mazingira na fuel demandKabisa mkuu. Hatulazimiki kurudi zama za ujima. Tukitaka kitu tunalazimika kujifunza kulingana na teknolojia ya sasa na kuwekeza ili tuzalishe kitu kinachohitajika sokoni.
Huo ni ugunduzi mkuu na ni sahihi.Au tubuni mfumo bora zaidi wenye efficiency kubwa zaidi, pamoja na kutatua changamoto za uchafuzi wa mazingira na fuel demand
Wametengeneza gari au body? Na hiyo ni for commercial or exhibition only?Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Tuwape credit hata kama tupo nyuma miaka 200Mwanzo mgumu sana.
Swali muhimu kabisa ni: je wameweza kuunda engine yake from the scratch ??
Nauliza swali hilo kwani gari hasa ni Engine, ukiweza kuunda Engine basi vyote vilivyobakia ni mtelemko tu, kuunda Engine ndio elimu ya ma-engineers.
Nchi haiwekezi kwenye research ni ngumu sana kuendelea haya mambo sio marahisi ni magumu sanaHuo ni ugunduzi mkuu na ni sahihi.
Una kichaa wewe hebu kafuatilie gari nyingi kununuliwa mwaka Jana Scandinavian countriesSpecifications muhimu design ya nje sio kitu cha maana ni kipengele cha mwisho
Magari ya Umeme ya Tesla yana design nzuri lakini wanunuzi wachache
Hununui design
Kama hio gari ingekua na specification mwekezaj angetokea mapema na kuweka ela hilo gari ni mfano wa generation ya kwanza ya magari mwaka 1800'sKila aliyeyejadili hiyo picha ya gari kwa kuisifu au kuiponda bila kuomba apewe specification ya hiyo gari ajihesabu kuwa hana akili au ana akili ndogo mno tena mno hahitqji mtu wa kumwambua huna akili
Yeyote kabla kujadili alitakiwa kuomba apewe Specification ya hiyo gari iliyoko kwenye picha
Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Umeandika vizuri kabisa ila umeharibu kuchanganya r na l. Ni mteRemko, sio mtelemko. Leo fanya mazoezi ya ra re ri ro ru. Kesho la le li lo lu, rudia wiki nzima utabadilika.
KweliNchi haiwekezi kwenye research ni ngumu sana kuendelea haya mambo sio marahisi ni magumu sana
Ni mteremko na sio mtelemkoKweli unaweza kunifundisha kiswahili katika maneno mengine lakini sio kwa hili neno:- " "mteLemko" eti usahihi ni "mteRemko" !!🤤
Angalia hapo chini👇🏻
View attachment 2590799
Nadhani hapo ndio rahisi zaidi, kwasababu mfumo wa kufanya gari isogee upo tayari hauihitaji wao kubuni, labda iwe tofauti na kutumia mafuta, umeme au gas. Labda iwe gari ya kutumia maji.Tatizo ni kulifanya Gari liende hapo ndio muziki munene