macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hatujachelewa iwapo plan, nia na uongozi bora upo. Hatutakiwi kuunda tena hii design ya 1920. Tuibe technolojia kwa kupeleka wanafunzi nje, wasome na kufanya kazi kwenye viwanda vya magari. Wakirudi huku wanachanganya mawazo kwa pamoja na kutoka na kitu. Mbona China anaiba?Nadhani kama nchi tungewekeza zaidi kwenye vijana wa IT, kilimo na ufugaji. Haya mambo ya kutengeneza magari tumeshachelewa sana. Hilo gari hata kama linaweza tembea HALINUNULIKI. Hapo naona faida itakayopatikana ni kijana kujulikana na kupata ajira kwenye viwanda vinavyohusika na alichosomea lakini pia itategemea na GPA yake. Ifike sehemu tujiambie tu ukweli
Ina utofauti gani na gari nyengine? Au inafanya kitu gani cha tofauti? Isijekuwa wamefanya assembling tuSamaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Zile hilikopta kule Arusha na Mbeya nafikiri sasa ni makazi ya panya na mende.Linazidiwa na lile la taliban. Hakuna jipya hapo wala ugunduzi. Kama kawaida baada ya maonyesho tunaweka store mpaka maonyesho mengine twaja na new.
Kiukweli bado sana wala hakuna haja ya kujisifu, mbali na kuwa na muundo wa zama za WW1 gharama ya hlo gari ukitajiwa lazima ujifiche
Kwani mtu inahitaji kukaa shule kujifunza kupika? Au kufua ? Kuna kitu tunaita ujuzi unakaa unaangalia unapata ujuzi kwa kurudia rudia kufanya unapata uzoefu.Mzee Kapalata wa sido vingunguti kaanza kutengeneza gari kama hili miaka kumi iliyopita.
Saba saba lilikuwa kinakuwepo kwenye maonesho na sido lipo.
Huyo mzee kapalata hata elimu ya shule ya msingi hajawai kusoma. Ila ametengeneza gari kama hilo kitambo sana.
Udsm wanafanya leo huku watu ambao hawajaenda shule wamefanya miaka 10 iliyopita.
Na inawezekana gari la mzee kapalata kawauzia hao wanafunzi wa udsm ili nao wauze sura
Hakuna neno mtelemko kwenye kiswahili ni mteremko acha ubishi wa kitoto
Itakuwa la kuchezea gofu hiliHahaha Da Bado Tunayo Safari
Na mashaka na wewe yawezekana we ndio engineer wa hicho kidudeNi mwanzo mzuri. Hata hao wengine walipoanza hazikuwa za kupendeza
Mbona watu mnajadili gari kwa kutumia rejea ya picha ya guta?Swali muhimu kabisa ni: je wameweza kuunda engine yake from the scratch ??
Nauliza swali hilo kwani gari hasa ni Engine, ukiweza kuunda Engine basi vyote vilivyobakia ni mtelemko tu, kuunda Engine ndio elimu ya ma-engineers.
Mkuu,nasubiria cmnt yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe makadirio Mkuu
Labda kinakuwa, pengine miaka inavyozidi kwenda kitakuwa fusoNadhani kama nchi tungewekeza zaidi kwenye vijana wa IT, kilimo na ufugaji. Haya mambo ya kutengeneza magari tumeshachelewa sana. Hilo gari hata kama linaweza tembea HALINUNULIKI. Hapo naona faida itakayopatikana ni kijana kujulikana na kupata ajira kwenye viwanda vinavyohusika na alichosomea lakini pia itategemea na GPA yake. Ifike sehemu tujiambie tu ukweli
Acha uongo mkuuwamejitahidi
Hilo gari mnaliona nyinyi tu jamani mbona mi silioni?Hilo gari likigongana na baiskeli iliyobeba mkaa huwezi toboa. Kazi nzuri, vipaji kama hivi inabidi viendelezwe. Nimeona nchi kama Ghana wamejitahidi sana katika hili.
Mbona watu mnajadili gari kwa kutumia rejea ya picha ya guta?
Hapa ndio mnanichanganya