Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Tuiwekee lamination hii comment yako.
 
Kwa hiyo ninyi wafuasi wa CHADEMA mna fedha chafu ndio maana hamumcjabgii Lissu? Kweli leo CHADEMA hoja yangu imewavuruga na kuwachanganya kabisa akili zenu.
Nimecheka kwa nguvu, yaani umekuwa kama mwanamke, akivaa nguo mpya analazimisha kuonekana amependeza🤣
 
Nimecheka kwa nguvu, yaani umekuwa kama mwanamke, akivaa nguo mpya analazimisha kuonekana amependeza🤣
Jibu hoja huko CHADEMA mna pesa chafu ndio maana hamtaki kumchangia Lissu? Au umekurupuka tu kujibu hoja.
 
Yaani we jamaa hata ufahamu wako umekuwa na walakini kabisa, Sasa sherehe ya mwenzako na haujaalikwa kwa nini unaenda kujipendekeza uoshe masufuria?
 
Uchungu wa kujifungua unakusumbua ya Chadema waachie Chadema wenyewe.
 
Jibu hoja huko CHADEMA mna pesa chafu ndio maana hamtaki kumchangia Lissu? Au umekurupuka tu kujibu hoja.
Nakuambia hii hoja yako imekuwa kama ya vile vibinti vidogo vinavyoanza kubalee. Huna hoja bali una utoto.
 
Always spewing shit and insipidities,worst fingers and brains of all time
 
Chadema Wengi hawana pesa 🤣🤣🤣
Unakuta hata wanaohamasisha kuchanga nao hawajachanga
 
Yaani we jamaa hata ufahamu wako umekuwa na walakini kabisa, Sasa sherehe ya mwenzako na haujaalikwa kwa nini unaenda kujipendekeza uoshe masufuria?
Sasa ndio umejibu nini hapa? Si bora ungekaa kimya tu kuliko kuonyesha udogo wa upeo wako?
 
Chadema Wengi hawana pesa 🤣🤣🤣
Unakuta hata wanaohamasisha kuchanga nao hawajachanga
CHADEMA ni wababaishaji saba.kwa sababu hata kama watu laki moja tu wangechanga elfu moja moja tu basi ingekuwa mpaka sasa wamepata kiasi cha millioni mia moja. Lakini ajabu ni kuwa mpaka sasa wanatoa jasho na hela haitoshi hata kununulia pikapu ya kubebea kahawa huku Mbozi. Labda watamnunuliaa Guta au Noah.

Sasa hao wanachama wanaosema mamilioni wapo wapi ambao wanakosekana hata laki moja tu kumchangia mtu wao?
 
Kwani wewe Michango ya Chadema inakuhusu nini? Lisu siyo CCM na wewe unafuatilia habari yake huko CDM kama vile hukutaka achangiwe Gari. Umeombwa MChango huko??
 
Kwani wewe Michango ya Chadema inakuhusu nini? Lisu siyo CCM na wewe unafuatilia habari yake huko CDM kama vile hukutaka achangiwe Gari. Umeombwa MChango huko??
Umeielewa lakini hoja yangu au umekurupuka tu huko bar na kukimbilia jukwaani kuandika usichokijuwa😃😃😃
 
Nakuambia hii hoja yako imekuwa kama ya vile vibinti vidogo vinavyoanza kubalee. Huna hoja bali una utoto.
Siyo utoto bali nimeongea kitu cha ukweli ambacho hata wewe mwenyewe umeshindwa kujibu kwa hoja na kuishia kutapatapa tu. Hao mamilioni ya wanachama mnaosemaga mnao wapo wapi? Imekuwaje wakosekana hata laki moja tu wa kutoa buku buku nakifanya ipatikane million mia moja?
 
Yaani we jamaa hata ufahamu wako umekuwa na walakini kabisa, Sasa sherehe ya mwenzako na haujaalikwa kwa nini unaenda kujipendekeza uoshe masufuria?
Jibu hoja ndugu yangu. Kwani kuna sherehe huko CHADEMA? Au hata hoja hujaielewa?
 
Nakukumbusha hao wanachama unaosema waliwahi kuwachangia Mbowe na Wabunge wengie waliofungwa na Meko takriban Tsh. Milioni 400 ndani ya siku 3 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…